UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Mnaanzaga upumbavu kukubali kutoa hela zenu eti mtu awe anakulipa kwa mwezi au week sijui.
 
nilimkuta geto yupo na mikataba ya watu ,nilitaka kuimbisha masela zangu wakanikatalia eti kisa n demu wa msela wao ...

Daaaah..Jamaa kapatwa na nini asee .
Mbona majanga yanamuandama sana .
Alikuwaga na ndinga kali sana BMW ikala mzinga then huku madeni juu.

Yule manzi ake hajamkimbia kweli.??
Mana manzi fulani mjanja janja sana anaonekana.
 
nilimkuta geto yupo na mikataba ya watu ,nilitaka kuimbisha masela zangu wakanikatalia eti kisa n demu wa msela wao ...

Hata ningekua mie ningemkimbia.Wanaume akifilisika kwangu hana nafasi tena.
Namuona kama punda.
 
Jamaa acha uongo wewe ...


Hakuna biashara isiyokuwa na multiple areas... Hata biashara ya Kuku kuna wanauza dawa za Kuku, wauza chakula cha Kuku , wauza Nyama ya Kuku , wauza utumbo wa Kuku , wauza miguu ya Kuku , wauza vichaa vya Kuku n.k .. Ila Kuku huyo huyo mmoja ...


Same to forex kuna retail traders , kuna information sellers , kuna software makers na account managers ili mradi kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake ...
Haimaanishi uwepo wa mgawanyo huo unaashiria risk kuwa kubwa au mdogo ... Unaposema software makers hawana risk kubwa kwasababu wanauza programs .. Wewe ni Muongo Tena Mkubwa..


Sikia hii metaquote ambao ndio watengenezaji wa Metatrader4 na 5 ... Unajua baada ya kutengeneza meta trader 5 brokers wengi wamegoma kuhamia huko kwenye mt5 kwasababu gani?? Na kwanini wanaendelea kutumia mt4 ... Ingia google usome ..
Aise Daud nakutafuta sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom