Joyce wohwoh
Member
- Sep 17, 2021
- 80
- 185
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.