bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kama ni wabongo fanya umetoa sadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ungenunua hata shamba kibaha mbeleni ukate viwanja9million
Inaelekea kuna matapeli wengi na wao wamewapa tahadhari wateja wao.Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Tatizo mnapokuwa na pesa mnajifanya wajuaji ununue kimyakimya uje kuwashangaza rafiki zako.Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Acha mipasho kijana. Kama huna msaada kwake unakausha tu...Tatizo mnapokuwa na pesa mnajifanya wajuaji ununue kimyakimya uje kuwashangaza rafiki zako.
Ungeuliza awali ungesaidika.
Hiyo pesa huipati tena.
Beforward.jp wapo wamejaa, waaminifu why ununue vichochoroni?
Nilitumia Beforward wakaniletea kabla ya muda walioniahidi
Kuwa na ofisi, usajili brela, TRA nk Sio kigezo Cha kutopigwa hata kama ofisi ipo Ikulu maadamu tu ni mbongo don't try this at home.Ujapigwa ila Kuna tatizo limetokea.Je wanaofisi zao hapa tz.
Mbona Mimi ni shaagiza mashine kubwa ujerumani na ikafika.
Ishu ni wewe kuangalia umetimia site Gani ya kampuni
Kiburushuti auPole saaana!! Ushaliwa
Pole sana mkuu. Kwa scenario hiyo jamaa wamekupiga.9million
Niliona hili onyo pia. Kwa kuwa ni la hivi karibuni (July 2023), huenda hivi karibuni kumekuwa na matukio ya watu kutapeliwa kupitia jina la Real Motor Japan.Inaelekea kuna matapeli wengi na wao wamewapa tahadhari wateja wao.
Hebu share number ulizokuwa unafanya nao mawasiliano pamoja na bank details.
Nimetembelea website yao nmekutana na hii.
View attachment 2770004
Hili ndio la muhimu.... hivi vikampuni vingine vina utapeli mwingi... hasa hasa hawa wanaojiita "lipia nusu" umalizie likifika.Siwezi agiza gari pitia agent wa Tanzania wakati Berfoward wana office yao inaeleweka.
Real Motors hawa hawa? Ebu share email yao tuone.
Na mm nashangaa, perhaps jamaa wengine ambao walijifanya real Motors na web site ikawa kama real motors lkn ilikuwa sio hawa Real Motors tunaowajua!Real Motors hawa hawa? Ebu share email yao tuone.
Mkuu onyesha email yao mlivyokuwa mnawasiliana ili tuwahukumu kwa haki
Au namba uliowasiliana nao iliiopo kwenye website