Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii taarifa ndio Scam sasa ya ukweli😅😅😅ina uongo mwingi yenye lengo ya kutisha watu
Ubalozi walisha sema na wakanawa mikono
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONGEZEKA KWA MALALAMIKO YA KUTAPELEWA WATANZANIA WANAOAGIZA MAGARI YALIYOTUMIKA JAPAN | Embassy of Tanzania in Tokyo, Japan
Ubalozi wa Tanzania nchini Japan umekuwa ukipokea malalamiko yayohusu kutapeliwa magari toka kwa watanzania wanaoagiza magari yaliyotumika nchini Japan. Malalamiko hayo hupokelewa moja kwa moja kutoka wa watanzania hao kwa njia ya barua pepe na kupitia Wizarani. Malalamiko hayo ni pamoja na...www.jp.tzembassy.go.tz