Utapeli wa kuagiza gari Japan

Utapeli wa kuagiza gari Japan

Huyu jamaa mwenyewe haeleweki maana watu wengi wamemuomba email aliotumia kuwasiliana nao haweki sijui kwa nini anaficha otherwise kaokota habari
Nimepigwa jaman ndo nafatilia hapa maana account ni ya Tanzania nimechanganyikiwa, naombeni kujua pa kuanzia ndugu zangu, SIO REAL MOTOR WENYEWE.
 
Nimepigwa jaman ndo nafatilia hapa.maana account ni ya Tanzania nimechanganyikiwa naombeni kujua pa kuanzia ndugu zangu,SIO REAL MOTOR WENYEWE.
Pole sana mkuu hiyo ndio imeenda hivyo, next time agiza kwa wenye maofisi yao huku
 
Huyu atakuwa anadanganya kwa lengo la kuchafua kampuni ya watu.
Siwezi danganya nimetapeliwa kweli ndugu zangu siko kwenye hali nzuri, nifarijini tu najua yatapita naomba Mungu uzima tu.

Nimeenda CRDB nimewaomba details za huyo aliyefungua account namba wamekataa, hawaruhusiwi details za mtu za kibenki basi nimeishia hapo.
 
Siwezi danganya nimetapeliwa kweli ndugu zangu siko kwenye hali nzuri,nifarijini tu najua yatapita naomba Mungu uzima tu,nimeenda CRDB nimewaomba details za huyo aliyefungua account namba wamekataa hawaruhusiwi details za mtu za kibenki basi nimeishia hapo.
Tunaomba screenshot ya mawasiliano uliyo kuwa unafanya na hao matapeli pamoja na contact zao
 

Attachments

  • Screenshot_20231003-130808_Instagram.jpg
    Screenshot_20231003-130808_Instagram.jpg
    118.4 KB · Views: 9
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.

Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.

Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.

Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.

Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.

Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.

Naombeni anayejua hatua za kuchukua

NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.

RMJ si walikuwa na wawakilishi wao pale jengo la Ushirika kama sijakosea au washatemana nao?
 
Back
Top Bottom