Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Real motors wanajulikana mkuu. Sio maarufu sana kama SBT na Beforward. Kuna kipindi nilisikia ofisi zao zipo pale Opp na don bosco ya OyesterbayPole sana, ukiipatia wapi hiik ampuni? Sijawahi kujisikia. Na je, haukufahamu zinazojulikana?
Unapoagiza gari angalia pia idadi ya watu wanaoagiza gari kupitia hiyo kampuni,iliyo na watu wengi juwa kuwa ni trusted,kinyume cha hapo ni kubahatisha...Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Mkuu hapa nakataaa..Out of topic .
Nawakumbusha cheap is expensive, shortcut is wrong cut.
Labda nenda ubalozi wa Japani kwa msaada zaidiNaomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Asante kwa ushauri mzuri avute subira tuGari unaweza agiza kampuni yoyote hata ndogo ndogo na usitapeliwe unapokuwa na hofu wasiliana na umoja wa wauza used car huko Japan watawasiliana na kampuni husika kwani kosa la kampuni kumtapeli mteja adhabu yake ni kubwa mno ikiwemo kufungiwa milele hivyo hizi kampuni zote zinauogopa huo umoja kama ukoma Mimi huwa naagiza Hadi vikampuni vingine hata Tanzania havijulikani kama blauda Japan na gari inafika.
Hapo hakuna issue ya cheap, ni suala la kukosa uelewa tu.Out of topic .
Nawakumbusha cheap is expensive, shortcut is wrong cut.
Real Motors hawa hawa? Ebu share email yao tuone.
Hawana agent Tanzania kabisa.
Siku nyingine zingatia kampuni kubwa nadra sana kutumia handlers kama hizo za gmail.com yahoo.com e.t.cNimewasiliana nao Real wa ukweli wameconferm sio wao
nilikuwa barabarani ndugu zangu,inforealmotor@gmail.com. ndo email yao.
RMJ si walikuwa na wawakilishi wao pale jengo la Ushirika kama sijakosea au washatemana nao?
Nimewasiliana nao Real wa ukweli wameconferm sio wao
nilikuwa barabarani ndugu zangu,inforealmotor@gmail.com. ndo email yao.
Nimejikuta nacheka huyo wa Outlander.kuna jamaa yangu mmoja aliagiza na hao hao Real Motors wa Tz,aliagiza gari aina ya mitsubishi Outlander 22M wakamtapeli badala yake wakamletea fun cargo.
kumbe walitapeliwa wengi wenzake wote walikuwa 8 hawakupata kabisa magari ni bora hata yeye aliletewa hiyo Funcargo.
wateja wote 8 walitapeliwa jumla ya 108M.
Alafu ananambia kuwa jamaa haogopi chochote walipofika polisi anawaambia polisi eti wampeleke mahakamani na hela hana ameshatumia.
Hii ilikuwa mwezi wa March 2023 kesi sijui imeishia wapi.
hao ni matapeli kweli kweli.
Cha msingi jamaa ni kufanya attempt ya kuwapata wahalifu wake, huenda akaokoa pesa kidogo au akaishi kwa tumaini.Hiyo ni hatua ya kwanza kuthibitisha kwamba umeshapigwa, Sasa turudi kwenye benki, uliwawekea pesa kwenye akaunti Yao iliyopo benki Gani?
Ulipigwa kirahisi sana. Pole sana mkuuNimewasiliana nao Real wa ukweli wameconferm sio wao
nilikuwa barabarani ndugu zangu,inforealmotor@gmail.com. ndo email yao.