The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Siwezi danganya nimetapeliwa kweli ndugu zangu siko kwenye hali nzuri, nifarijini tu najua yatapita naomba Mungu uzima tu.
Nimeenda CRDB nimewaomba details za huyo aliyefungua account namba wamekataa, hawaruhusiwi details za mtu za kibenki basi nimeishia hapo.
Una deposit slip uliyotumia kuweka pesa CRDB ?
Haiwezi kuishia hapo kizembe namna hiyo.
Una pa kuanzia