Utapeli wa kuagiza gari Japan

Utapeli wa kuagiza gari Japan

Nilikuwa nawasiliana nao kwa email na insta.
Weka hizo email, TT uliwatumia kwa njia gani sasa baada ya kulipia ila dah m9 sio ndogo hivi pia sio wewe ulikuja kuuliza unataka kulipia na wanakuforce ulipie tukakwambia usilipe tafuta kampuni za kujifunzia ambazo kiasi fulani kupigwa asilimia chache.
 
Dah ... pole mkuu.
Hapo utakuta wife wako kashaenda kutamba kwa mabeste zake wote kua soon enough anakua anakoa gia. Mixa watoto washaanza kununuliwa nguo za kuendea beach na gari ya baba..
Anyway, si ni life..
Next time kuja huku pata ushauri wa kina, pia logically, kampuni yoyote verified haiwezi kushindwa kulipia domain ya email mpaka watumie "gmail" kama hao jamaa.
Jipange tena next time
 
Hawana agent Tanzania kabisa.

Huwa wanatumia S&F agents...

Next time akimaliza kujipanga atupe taarifa tuone tunafanyaje!!
 
Huwa wanatumia S&F agents...

Hii ndio page yao halisi hao Real Motors Japan
 
Back
Top Bottom