Pole sana kwa njozi za majinamizi.
Ukiacha vineno vya kuokoteza Mungu atakubariki na ma NDOTO ya aina hiyo yatakuacha.
Hata afya yako NAYO itaimarika. Amen.
Wewe mjinga Kweli aisee.kwani alikuwa anatafuta kujua kwamba anpendwa au wazamini?sijui mlisoma wapi Nyie wajinga wajinga wa lumumba ? Unashindwa kujua tofauti Kati ya kutafuta uzamini na kampeni.
Embu tutajie hapa majimbo ambayo hill chizi Leno halijawahi Kanyaga tangu liapishwe. Tanga kuna majimbo mangapi? Maguful kaenda mangapi? Pwani je? Lind je