Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk
Hata aliyotembelea angalia utapeli
Manyara majimbo yako Saba katembelea Mona tu.
Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu
Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe
Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa
Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk
Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
Nijuavyo lengo lilikuwa lupata wadhanini toka baadhi ya majimbo ua mikoa na si lazima majimbo au mikoa yote.
Hivyo yule wa ccm alitembelea majimbo mangapi? Je kule ambako waziri alienda kumtafutia wadhamini kwa walekina mama bila yeye kwenda tuliwekeje nalo?
FIKIRIA KWANZA KABLA YA KULETA MADA