Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Mona tu.

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli

Nijuavyo lengo lilikuwa lupata wadhanini toka baadhi ya majimbo ua mikoa na si lazima majimbo au mikoa yote.

Hivyo yule wa ccm alitembelea majimbo mangapi? Je kule ambako waziri alienda kumtafutia wadhamini kwa walekina mama bila yeye kwenda tuliwekeje nalo?
FIKIRIA KWANZA KABLA YA KULETA MADA
 
Kama anapendwa kote kwa Nini azunguke nchi nzima angejaza mikoa tu inayopakana tu ikifika 10 ya tume anatulia lakini kazunguka Hadi kakoma
 
Lengo lillikua kupata wadhamini na wamepatikana, shida iko wapi?
Asidanganye anapendwa inji hii yote. Kwetu ileje na mjini magharibi asisogeze magolori yake. Tunajua alichotufanyia
 
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Moja tu.

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
Hujui nini Lissu anafanya kwasasa kwani magu ametembelea majimbo mangapi kupata wadhamini.
 
Kama anapendwa kote kwa Nini azunguke nchi nzima angejaza mikoa tu inayopakana tu ikifika 10 ya tume anatulia lakini kazunguka Hadi kakoma

Kama sheria ingemuhukumu kwa kutofikisha mikoa 10, lakini haimuhukumu kwa kuzidisha mikoa, basi hongera zake.
NB:
KAKOMA ni mkoa hupi tena, maana sijawahi kusikia, au ni mkoa mpya?
 
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Moja tu.

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
Mimi nilisikia akisema ametembelea mikoa si majimbo,Sheria ilimtaka akatafute wadhamini kwenye mikoa na si kwenye majimbo.Huko kwenye majimbo nenda wewe na magu
 
Ukiona hivyo ujue anataka kuwaambia waliomtuma kuwa anapendwa nchi nzima. Hivyo anataka watume hela.
 
UNAFIKIRI MAMA YAKO ALIMPENDA BABA YAKO SABABU YA MAPENZI TU.
 
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Moja tu.

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
KIPI KINACHOWAUMA ACHA DAWA IWAINGIE.
 
Nimeamini Lissu ni blessed yaani mzee wa burigi hatulii kila siku vikao visivyoisha na posho za kufuru kwa wajumbe ili waje na nini cha kufanya ili Lissu apokwe ugombea.
Ukija upande wa Lumumba huko ndo balaa watu wanakwenda hadi kupuu bila maji wakienda kulala wanajitupa kitandani na makata mbuga au yeboyebo wamevurugwa.
WANALIA NA KUSAGA MENO, FARAO YU MASHAKANI.
 
Kwa hayo majimbo 20 aliyotembelea Lisu Kati ya 264?

Ngoma ya majimbo 244 yaliyobaki ataiweza? Katembelee 20 tu kachoka hoi na pesa imekata hayo 244 yaliyobaki si atazimia njiani na hela Hana

Ulizeni kwa hayo majimbo 20 tu bilioni ngapi kateketeza kwa kujaza tu fomu ya wadhamini fupi tu isiyojaa hata kwenye kiganja bilions of money katekeza kujaza tu fomu!!!

Chadema imshtaki kwa matumizi mabaya ya pesa kafomu kadogo tu hako kagharimu billions!!
 
HATA KAMA ASIPOFANYA KAMPENI MAJIMBO YOTE KICHAPO KIPO PALEPALE
 
Kwa hayo majimbo 20 aliyotembelea Lisu Kati ya 264?

Ngoma ya majimbo 244 yaliyobaki ataiweza? Katembelee 20 tu kachoka hoi na pesa imekata hayo 244 yaliyobaki si atazimia njiani na hela Hana

Ulizeni kwa hayo majimbo 20 tu bilioni ngapi kateketeza kwa kujaza tu fomu ya wadhamini fupi tu isiyojaa hata kwenye kiganja bilions of money katekeza kujaza tu fomu!!!

Chadema imshtaki kwa matumizi mabaya ya pesa kafomu kadogo tu hako kagharimu billions!!
Kama katekeza bilioni sisi tunamuomba aongeze trilioni kutekeza.

Kipele cha wapi kinakuwasha tukukune wewe dada?
 
Back
Top Bottom