kahara
Member
- Nov 14, 2016
- 94
- 92
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari.
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid.
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni