Utapeli wa Mjapan

Utapeli wa Mjapan

kahara

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
94
Reaction score
92
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari.

Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid.

Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
 
Hiyo ni market strategic ,wanafanya kupanua soko lao kwa kuwa wao wanafata philopsp in production kama kaizen,kan ban ,5s hizo ndio zinawasaidia kuamua kuwa soko linataka nini , huu mchezo wameanza muda MREFU ukiangalia hata Mazda Kuna gari ziko Kila kitu the same with Subaru ,the same with Toyota ......Hawa wanatengeneza mpunga sana km mazuzu wafata mkumbo lkn ni nadra sana kujuta gari za mzungu na huo ujinga
 
Mkuu, tulishawahi kujadili mada kama hiyo hapa. Suala la masoko linachangia saana kuwa na majina tofauti kwa gari moja. Na sio Toyota tu wanaofanya hivyo. Makampuni mengi sana yanafanya hivyo.

Kuna sababu nyingine nyingi pia, kama kushare gharama za utafiti na uzalishaji. Kurahisisha upatikanaji wa vipuli, kuingia soko jipya au soko tofauti etc. Wakati mwingine majina yanaweza kuwa na tafsri mbaya kwenye soko moja kulinganisha na jingine.

Ila kwa hiyo kesi tajwa, hizo Toyota ni kampuni mama ya Subaru na Daihatsu. So utafiti unafanya kwa pamoja, uzalishaji unafanya kwa pamoja, wanatofautisha nembo na vitu vingine vichache.
 
Mifano mingine:
1. Ford Escape = Mazda Tribute
2. Toyota IST = Scion xA, Uburn Cruiser, Toyota xA
3. Suzuki Grand Vitara = Suzuki Escudo
4. Suzuki Swift = Chevrolet Cruze
5. Toyota Voltz = Pontiac Vibe
6. Toyota GT86 = Subaru BRZ, Scion FRS
7. Nissan Navara = Mercedes X Class
8. Nissan Dualis = Nissan Qashqai
9. Audi Q7 = VW Toureg, Porsche Cayene
List ni ndefu sana
 
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid .
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
Wanafanyaga hivyo ili kusink down production costs 😂😂😂 maboresho yanafanyika katika sehemu za msingi kama suspension na drivetrain ila mambo mengine yanabakia sawa.

Mfano Terios Kid na Toyota Cami likuwa muungano wa Daihatsu na Toyota . Ila ukichunguza utagundua Toyota Cami ilikuwa na engine ya 1300cc ila Terios Kid ina 650cc.

Zote kwa kijapani wanaita Kei Cars ambazo ni gari za jamii ya babywalkers zilizoundwa kwa shape za box na zina engine ndogo kwa ajili ya ufanisi zaidi. Ni gari za town trip sana sana sio za safari ndefu.
 
Hio Nissan Navara kuwa Mercedes X Class maake hapo kwanza ncheke 😂😂😂
 
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid .
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
Ni vionjo tu ...visikuchanganye Kyaka utafika regardless of which make you opt for
 
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid .
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
So ni kama huku tu tunavyouziana michele
Mchele huo huo unapigwa kwenye gunia 5 tofauti na bei tofauti
 
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid .
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
Hizi kampuni huwa ni kubwa hivyo Zina maagent ambao ni lazima wawe identified tofauti hata Kwa kitu kidogo Ili ijulikaje gari imetoka Kwa nani mfano wa maagent wa Toyota ni kama netz na Toyopet hivyo after design a car ndio linapokuja swala la agents wangapi wanataka hiyo gari hapo ndipo vinaongezwa vitu vidogo ambavyo ni matakwa ya agent mfano alphard G agent Toyopet na alphard V agent ni netz pia Kuna uuzaji wa manufacture licence mfano 2012 Mitsubishi waliuza license ya Pajero mini Kwa Nissan sasa nisani wasingeweza kuiita jinalile wakati neno Pajero ni brand tayari hivyo wakaiita Nissan kix ila design ni ile ile, pia baadhi ya kampuni ni branch ya hizi kubwa mfano Daihatsu ni branch ya Toyota hivyo katika kuibrand hii branch huwa wanashea design hapa utakuta Daihatsu BIGO na Toyota rash ni gari moja
 
Daihatsu iko toyota kwa sasa

Mwanzo terios ni daihatsu ila waliingia ubia toyota nae auze hio gari wakabadil grills zile same engine same chassis ila kwa toyota ikaitwa toyota cami

Daihatsu ni tawi la toyota kwa sasa

Kengine kuna umiliki wa body mfano hiace unakuta kuna mtu anamiliki ni maelewano tu ivae chasis gani ya toyota au nissan
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta toyota na subaru mfano ni mira toyota inaitwa pixis ecoh injini kf cc600 ukija subaru inaitwa pleo plus injini kf ila sasa kwenye Minada ya magari kule japani bei inatofautiana kwa bei wakati ni gari lile na injini hilehile same as plaize toyota cami na terios kid .
Mwenye kujua ni kwanini wanafanya haya kwa manufaa ya nini aje atutoe matongotongo maana nimechoka kusafiri na pikipiki safari ya kilomita 890 maji moto katavi to Kyaka bukoba
Karibuni
 
Mifano mingine:
1. Ford Escape = Mazda Tribute
2. Toyota IST = Scion xA, Uburn Cruiser, Toyota xA
3. Suzuki Grand Vitara = Suzuki Escudo
4. Suzuki Swift = Chevrolet Cruze
5. Toyota Voltz = Pontiac Vibe
6. Toyota GT86 = Subaru BRZ, Scion FRS
7. Nissan Navara = Mercedes X Class
8. Nissan Dualis = Nissan Qashqai
9. Audi Q7 = VW Toureg, Porsche Cayene
List ni ndefu sana
Urban cruiser ni mwendelezo wa ISt ilioachwa tengenezwa 2016
 
Mifano mingine:
1. Ford Escape = Mazda Tribute
2. Toyota IST = Scion xA, Uburn Cruiser, Toyota xA
3. Suzuki Grand Vitara = Suzuki Escudo
4. Suzuki Swift = Chevrolet Cruze
5. Toyota Voltz = Pontiac Vibe
6. Toyota GT86 = Subaru BRZ, Scion FRS
7. Nissan Navara = Mercedes X Class
8. Nissan Dualis = Nissan Qashqai
9. Audi Q7 = VW Toureg, Porsche Cayene
List ni ndefu sana

Naomba uelezee hapo namba 9, hizo gari zinafanana kwenye nini?
 
Wanafanyaga hivyo ili kusink down production costs 😂😂😂 maboresho yanafanyika katika sehemu za msingi kama suspension na drivetrain ila mambo mengine yanabakia sawa.

Mfano Terios Kid na Toyota Cami likuwa muungano wa Daihatsu na Toyota . Ila ukichunguza utagundua Toyota Cami ilikuwa na engine ya 1300cc ila Terios Kid ina 650cc.

Zote kwa kijapani wanaita Kei Cars ambazo ni gari za jamii ya babywalkers zilizoundwa kwa shape za box na zina engine ndogo kwa ajili ya ufanisi zaidi. Ni gari za town trip sana sana sio za safari ndefu.
No iko hivi hapakuwa na cami ndogo

Palikuwa na cami yenye cc 1300 tu, upande wa daihatsu iliitwa terios, pia terious ilikuwa na kadogo chake kaliitwa terious kid ambako upande wa toyota hakakuwepo ndo mana cami ni 1300cc tu ila terious ziko mbili 1.3L na 650cc
 
Hizi kampuni huwa ni kubwa hivyo Zina maagent ambao ni lazima wawe identified tofauti hata Kwa kitu kidogo Ili ijulikaje gari imetoka Kwa nani mfano wa maagent wa Toyota ni kama netz na Toyopet hivyo after design a car ndio linapokuja swala la agents wangapi wanataka hiyo gari hapo ndipo vinaongezwa vitu vidogo ambavyo ni matakwa ya agent mfano alphard G agent Toyopet na alphard V agent ni netz pia Kuna uuzaji wa manufacture licence mfano 2012 Mitsubishi waliuza license ya Pajero mini Kwa Nissan sasa nisani wasingeweza kuiita jinalile wakati neno Pajero ni brand tayari hivyo wakaiita Nissan kix ila design ni ile ile, pia baadhi ya kampuni ni branch ya hizi kubwa mfano Daihatsu ni branch ya Toyota hivyo katika kuibrand hii branch huwa wanashea design hapa utakuta Daihatsu BIGO na Toyota rash ni gari moja
Hizo V na G sio ma agent hizo ni trim zilizoko kwa production.. mfano prado kuna vxl, txl, tx, tzg hizi nazo utasema ma agent?
 
Nafikiri wanatarget masoko tofauti, ujue bongo zinakubalika zaidi toyota wakati jirani tu hapo subaru wamezizoea zaidi so labda wakifanya hivyo itauzwa zaidi kuliko ikiwa chini ya brand moja
Ni kweli, ni mbinu ya masoko na gharama za utengebezaji. Hata Ukaya ipo. Unakuta Audi ina ingine moja na VW nk..
 
Naomba uelezee hapo namba 9, hizo gari zinafanana kwenye nini?
Muonekano, chassis, baadhi ya engine na gearbox options, na gari zote zimetengenezwa kiwanda cha Nissan. Mpaka funguo walitumia ya Nissan. Walibadilisha logo tu.
 
Attachments

  • Merc_2.jpg
    Merc_2.jpg
    25.4 KB · Views: 31
  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    32.6 KB · Views: 30
Mifano mingine:
1. Ford Escape = Mazda Tribute
2. Toyota IST = Scion xA, Uburn Cruiser, Toyota xA
3. Suzuki Grand Vitara = Suzuki Escudo
4. Suzuki Swift = Chevrolet Cruze
5. Toyota Voltz = Pontiac Vibe
6. Toyota GT86 = Subaru BRZ, Scion FRS
7. Nissan Navara = Mercedes X Class
8. Nissan Dualis = Nissan Qashqai
9. Audi Q7 = VW Toureg, Porsche Cayene
List ni ndefu sana
Urban cruiser nakusahihisha sio TOYOTA IST, inajisimamia km brand inayojitegema ktk soko
 
Back
Top Bottom