Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu hata kama tiketi itatumika wakati ujao lakini si mashabiki wote waliotoka majimboni watarudi kutazama mechi. Hivyo, wahusika wa mechi hapo wanakuwa wamepiga faida ya mechi mbili. Huu ni utapeli.
Mfano mwingine, unakuta mtu anaanzisha kampuni uchwara, anafoji foji nyaraka- zingine halali, zingine feki, anajitanganza hadi kwenye TV, anakusanya pesa za watu, mwisho wa siku mamlaka zinamkamata zinamweka ndani zinasema hana uhalali wa kuendesha hiyo project, wale wanaodai ndio basi tena hawapati hata mia.
Tuweni siriasi jamani, utapeli siyo mzuri, unalemaza moyo wa kufanya kazi halali kwa bidii! Inaathiri pia kizazi kijacho!