Utapika chakula gani Xmas hii?

Utapika chakula gani Xmas hii?

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wazee wa madikodiko kwema?

Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?

Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo.

Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas? Tuambie na wengine tupate kuongeza/kupika vitu vipya.

Ukiweka na ka picha ka msosi utakaopika, hata na recipe kama unajua msosi huo haujulikani kwa wengi itakuwa vizuri.

Twende kazi.
 
Muda huu ukiwa na majirani wa aina hiyo halafu sio wachoyo, unapata chakula cha kutosha hata kiporo cha siku mbili tatu
yeah hawana mbambamba hawana baya tunapeana hata mm eid huwa nawapa tena kuanzia asbh vile vitafunwa vya kufungulia asbh mpaa mchana ni destur yetu labda itokee bahat mbaya
 
Wazee wa madikodiko kwema?

Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?

Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo.

Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas? Tuambie na wengine tupate kuongeza/kupika vitu vipya.

Ukiweka na ka picha ka msosi utakaopika, hata na recipe kama unajua msosi huo haujulikani kwa wengi itakuwa vizuri.

Twende kazi.
Magege na wali wa Kamsamba
 
Nakusanya kuku wa wateja ikigonga 24 naanza kuchinja.. Kisha
Nitapika roast
Mchemsho
Nitabanika
Nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes unaandaa simple bufee.

1. Pilau
2. Machalali ( weka utumbo wa mbuzi)
3. Chips (hii inategemea maana watoto hupenda chips na pilau hivyo unaweza kuweka kimojawapo.

Na ukipika hivyo ni hadi kesho yake.

Ukipenda wine, shampen, Juisi , soda , ice cream n.k
 
Siwezi nikapika siku ya sikukuu akati mialiko ni mingi na huwa sina tabia ya kukataa mialiko hata ya utani😅

Siku hiyo napiga code safi nahakikisha nipo smart, simu full charge na bundle lipoo then naanza kupita sehemu zenye mialiko hivo tuu yanii najua tu nitakula hadi nishindwe mimi😅😅

Au vipi Mtoto halali na hela 😂
Uje na pilipili kabisa
 
Asante kwa Bandiko la Madikodiko Mkuu.

BARIKIWA SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom