Utapika chakula gani Xmas hii?

Utapika chakula gani Xmas hii?

Sema mi nishazoea yan sinaga haraka na skukuu nakula kitakacho patikana nikishashib ni mmi na kitanga changu ni mwendo wa kulala tu[emoji3] tena bora nikiwa na bando nawez kuwa online naview status kuona mitoko ya wendhangu[emoji81]
kabisa

tena ni vizuri itakua j3, weekend ijayo itakua na siku 4😋
 
tupo wengi aisee
Shem njoo kwangu niwapikie vyakula vya uchagan, mpk mbege itakuwepo nawawekea kwenye fridge ipoe n kreti la castle pembeni. Mbuzi choma ya kushato, nishaandaa mchomajI. Na utumbo nawawekea kwenye machalali.
Mje mkiwa mmevaa zile dressing code zenu za chugga itabamba Sana’a 😂😂😂😂
 
tuma nauli shem
 
Mchana ntasonga kiugali na mboga yoyote, jioni ntawatoa out wakale kitimoto na ndizi na wine.
 
Back
Top Bottom