Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
😂😂😂 umetisha mzee. Kwanini lakini ule ugali Xmas?Tarehe 1-24 nakula kuku , samaki pilau ikifika tarehe 25 nasonga ugali dagaa.
Muda huu ukiwa na majirani wa aina hiyo halafu sio wachoyo, unapata chakula cha kutosha hata kiporo cha siku mbili tatunasubiri mabakuli kwa jiran zangu wanaosherehekea sikukuu yao hivyo ntapika chai na kitafunwa asubh lunch na dinner itategemea na sahani ntakazopokea
yeah hawana mbambamba hawana baya tunapeana hata mm eid huwa nawapa tena kuanzia asbh vile vitafunwa vya kufungulia asbh mpaa mchana ni destur yetu labda itokee bahat mbayaMuda huu ukiwa na majirani wa aina hiyo halafu sio wachoyo, unapata chakula cha kutosha hata kiporo cha siku mbili tatu
Magege na wali wa KamsambaWazee wa madikodiko kwema?
Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?
Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo.
Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas? Tuambie na wengine tupate kuongeza/kupika vitu vipya.
Ukiweka na ka picha ka msosi utakaopika, hata na recipe kama unajua msosi huo haujulikani kwa wengi itakuwa vizuri.
Twende kazi.
Nakusanya kuku wa wateja ikigonga 24 naanza kuchinja.. KishaWazee wa madikodiko kwema?
Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?
Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo.
Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas? Tuambie na wengine tupate kuongeza/kupika vitu vipya.
Ukiweka na ka picha ka msosi utakaopika, hata na recipe kama unajua msosi huo haujulikani kwa wengi itakuwa vizuri.
Twende kazi.
Uje na pilipili kabisaSiwezi nikapika siku ya sikukuu akati mialiko ni mingi na huwa sina tabia ya kukataa mialiko hata ya utani😅
Siku hiyo napiga code safi nahakikisha nipo smart, simu full charge na bundle lipoo then naanza kupita sehemu zenye mialiko hivo tuu yanii najua tu nitakula hadi nishindwe mimi😅😅
Au vipi Mtoto halali na hela 😂
Sawa mkuu sitosahau, pilipili mbuzi🤣Uje na pilipili kabisa
tupo wengi aiseeAmbao hatuna cha kupika tukae wapi tukiwa tunasubir mualiko[emoji3][emoji38]