tupo wengi aisee
kabisaSema mi nishazoea yan sinaga haraka na skukuu nakula kitakacho patikana nikishashib ni mmi na kitanga changu ni mwendo wa kulala tu[emoji3] tena bora nikiwa na bando nawez kuwa online naview status kuona mitoko ya wendhangu[emoji81]
kabisa
tena ni vizuri itakua j3, weekend ijayo itakua na siku 4[emoji39]
Shem njoo kwangu niwapikie vyakula vya uchagan, mpk mbege itakuwepo nawawekea kwenye fridge ipoe n kreti la castle pembeni. Mbuzi choma ya kushato, nishaandaa mchomajI. Na utumbo nawawekea kwenye machalali.tupo wengi aisee
tuma nauli shemShem njoo kwangu niwapikie vyakula vya uchagan, mpk mbege itakuwepo nawawekea kwenye fridge ipoe n kreti la castle pembeni. Mbuzi choma ya kushato, nishaandaa mchomajI. Na utumbo nawawekea kwenye machalali.
Mje mkiwa mmevaa zile dressing code zenu za chugga itabamba Sanaβa ππππ
Ila wewe kweli ni tatizo!! ko hata nauli huna?!tuma nauli shem