Kama alikua anavigezo vya kusoma advance kutoka kwenye csee anaruhusiwa kufanya mtiani kama private candidate hivyo aende mapema kwenye kituo au shule husika yenye center aliyo ichagua kufanaya mtihan atapata ref no. kisha ata chukua control namba kwenye tovuti ya necta na kufanya malipo kupitia benk,posta au simu (gharama za usajir wa necta ni 50,000 au 65000 ukichelewaa