Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

Wewe kunguni unahangaika sana
 
Huyo chawa ana ubishi wa kibwege sana.
 
Nasikia Rais kawapangia Mawaziri mikoa ya kulea, yaani kila waziri ana mkoa wake wa kulea. So yawezekana waziri akazindua mradi ambao upo ktk mkoa wake.
Nb:
I stand to be corrected
 
Waziri husika anakuwa kwenye majukumu mengine na Kwa sababu lengo ni moja na serikali ni moja so waziri mwingine anaenda kufanya ukaguzi

Hata bungeni uwa wanasaidiana kujibu maswali kama waziri husika Hana hufahamu mzuri wa Jambo ambalo limeulizwa
Naibu wazirije?karibu
 
Leo mnyia ww wa igamba getini ndo umeongea point kuliko siku zote. Sio kila siku kusifia,tu! Umeanza kufikiri sasa big up. Kila mtu ale kulingana na UREFU wa kamba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…