Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

Hahahaha
Waache wamjibu.

Lakini ameshatuzindua kutoka kwenye usukule
 
Mwiijaku vp
 
Bakwata
Maaskofu na wachungaji uchwara
Stivu mengele
 
Mzee kajitoa mhanga kuliokoa Taifa. Ngoja tuone what next...
Ila watamtukana sana.
 
Umejua kuwa pre empty kweli hawa nguruwe wa kijani
 
Mzee ana hoja, bt natatizika kumuelewa, coz ujambazi ktk chaguzi zetu haujaanza leo, why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
Mzee Warioba ni yule yule siku zote amekuwa anakemea viashiria vya kuweza kuharibu taswira ya nchi. Hata mwaka 2001 alisimama kidete kuionya dola isitumie mabavu kuzuia maandamano ya CUF kule visiwani lakini wakampuuza na matokeo ya wote tunayakumbuka,kwa mara ya kwanza Tanzania ikazalisha wakimbizi.
 
Mzee warioba kachukua pale kampasia mzee butiku, mzee kadeshi pale kageuka mzee butiku anapiga shoot hatari pale kwenye lango la watawala inapiga besera lango la watawala, watawala bado hawajui nini la kufanya mpira unamkuta mama maria nyerere eeeh eeh wasikilizaji mashabiki wamesimaa hawamini jinsi mama maria nyerere alivyopokea ule mpira kiufundi haya jamani watawala wanatafutana uku namuona mzee wa msoga kasimama hamini anachokiona mama maria ana mpira bado kuna hamaki hapa maana mama kizimkazi naye kasimama, upande wa pili wale vijana timu tawala makonda, happi, silinde, wanataka ingia uwanjani kwa nguvu mzee wa msoga anawambia msithubutu maana benchi la ufundi timu mzee warioba wapo vijana machachari January makamba, nape nauye, msomali kutoka nyuki akumbatiwi

Ooooh umeme umekata uwanja una kiza nene hapa
 
Usitutapishe wala kututaafisha mwanangu. Warioba hawezi kujibiwa kwa usahihi na chawa wala macha hata anayewafuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…