Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

Mzee kakosa urefu wa kamba...Ningemwamini kama yeye angeweza kuonyesha democracy sehemu anazoongoza, lakini si hivyo na amekuwa mkabila kumlinda mtu wake
 
Daaa! Mkuu umetsha saana yaan umechukizwa mpaka na sura alyoiumba mwenyez Mungu!?
 
Wewe akili huna kabisa, si ajabu hata tatizo la ufisadi na rushwa kukithiri utetezi wako utakuwa ni huu huu, kwamba rushwa haikuanzia kwa Samia hivyo yeye sio jukumu lake kukomesha rushwa
 
naomba nipewe japo judgement moja aliyoitoa warioba. nataka kurejea alishinda kes ngap
 
Ndio maana nasemaga kwenye hicho chama Chenu wanachama wake wengi vichwani vyenu vimebeba makamasi badala ya ubongo, mtu mwenye akili timamu hawezi kuleta utetezi wa namna, kwamba kwa vile Kuna mtu aliwahi kufanya uovu wa aina hii huko nyuma na hakukemewa, basi tuache tu uovu huo ukiendelezwa na huyu mtawala wa Sasa na yeyote anayethubutu kukemea huyo ni mnafiki?? Jinga sana wewe

Yaani huyu mama yenu Yale mambo ya ajabu ajabu yaliyoachwa na mtangulizi wake ambayo yanamnufaisha na yeye ameamua kuyaacha kama yalivyo, halafu nyie wapuuzi mko hapa kumtetea na kujaribu kuamisha lawama kwa mtangulizi wake ilihali yeye ndio muhusika mkuu kwa sasa??? Mnatia hasira sana nyie
 
"Unabii" wako umetimia! Ingia mtandaoni uone wanavyochacharika kujaribu kuuzima moto wa mzee!
 
Wewe Mtu Asiyejulikana una kipaji sana cha kuwa MC.🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…