Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
wanaume hamuaminiki pepo lenu likiwapanda mtoto atageuka kitoweo haijalishi aww wa kiume au wakike.
mwanamke yuko sahihi.
Mmefikaje huku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume hamuaminiki pepo lenu likiwapanda mtoto atageuka kitoweo haijalishi aww wa kiume au wakike.
mwanamke yuko sahihi.
Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Saizi yako uwe na mdomo mrefu wa kusema ati nilikulazimisha kubeba mimba miezi tisa. Ujinga gani huo unaosema?Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!
Yani mama yake amlele yeye ameshajichokea anataka akamtekelezew na mjukuu atesekw nae..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.
Au unataka kumpeleka kwa bibi ukampe mzigo mama yako? Hebu muonee huruma huyo mama yako.
Au unataka umpeleke kwa mke wako akawe mfanya kazi wa nyumbani? Fikiria vizuri.
Daaahh!! unanikumbusha mbali sana ikifika hatua hii ni kwenda kwenye mahakama za wanyonge aka kuloga yule singo maza aliyenitesa huku nimemtunzia mtoto wake,alikaa bure kwangu,mahakama ikambeba na nyumba akasema tumejenga wote na mshahara nikatwe nilitaka nimfyatue juu kwa juu haji kunisahau kilichomwokoa kumbe mama yake alichepuka sio mtoto wa yule mzee nilivotaja majina matatu yakapishana ila komboraaaa lilimpata........Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!
Aiseee kwahiyo uliamua kumuendea Kwa fundi baada ya mahakama kumbeba, Ila inabidi wa define upya hizi haki sawadaaahh!! unanikumbusha mbali sana ikifika hatua hii ni kwenda kwenye mahakama za wanyonge aka kuloga yule singo maza aliyenitesa huku nimemtunzia mtoto wake,alikaa bure kwangu,mahakama ikambeba na nyumba akasema tumejenga wote na mshahara nikatwe nilitaka nimfyatue juu kwa juu haji kunisahau kilichomwokoa kumbe mama yake alichepuka sio mtoto wa yule mzee nilivotaja majina matatu yakapishana ila komboraaaa lilimpata........
Kasome vizuri sio ya KSH.ni TSH.Jamani kwani hamjasikia Kiba anadaiwa Milioni Nne kilammwezi za Maziwa? hahaaa tena milioni nne ya Kenya, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili tu , ndiomaana wazee wetu walikua wana akili sana utasikia , mjinga kama mamaako huwezi kusikia hiyo kitu kwa wanaume . Janja janja on the move
Sio kweli anaweza akawa na chini ya miaka 7, ukapewa , kutokana kwa mama kuwa na mazingira sio rafiki kwa malezi ya mtoto, Vile vile anaweza kuwa na zaidi ya miaka 7, ukanyimwa(baba) kumtunza!!kuna mambo mengi hutazamwaKama mtoto ana umri chini ya miaka 7 huwezi kumchukua
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Na Kodi ya nyumba nayo n lazima ??Child support ni 70,000 tu kwa mwezi ipo kwa sheria.
Mjinga hujifariji , our kids our every thing.Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.
Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.
Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?
Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
May be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to uNyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.
Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.
Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?
Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.