Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Habari zenu,

Husika na kichwa cha habari
Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.

Au unataka kumpeleka kwa bibi ukampe mzigo mama yako? Hebu muonee huruma huyo mama yako.

Au unataka umpeleke kwa mke wako akawe mfanya kazi wa nyumbani? Fikiria vizuri.
 
Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!
Saizi yako uwe na mdomo mrefu wa kusema ati nilikulazimisha kubeba mimba miezi tisa. Ujinga gani huo unaosema?

Subiria Mungu akukoseshe halafu uanze kulalamika.
 
Hivi wewe kwa maoni yako unadhani huyo mtoto kuwa na uwezo wa kwenda shule ndiyo anaweza kujihudumia mwenyewe? Nani anamuhudumia kama siyo mama, kumsafisha, kumuoshea nguo na kuhakikisha anakula na kulala vizuri yote hayo yanahitaji muda wa mama ambao ni masaa 24.

Au unataka kumpeleka kwa bibi ukampe mzigo mama yako? Hebu muonee huruma huyo mama yako.

Au unataka umpeleke kwa mke wako akawe mfanya kazi wa nyumbani? Fikiria vizuri.
Yani mama yake amlele yeye ameshajichokea anataka akamtekelezew na mjukuu atesekw nae..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahahahahah wanataka ukatwe mshahara nusu etiii ndo haki sawa Yao, utasikia Mimi si nilibeba mimba miezi tisa, hapo unamuuliza tu kwani nilikulazimisha ubebe Kwa miezi yote hiyo si ungeipunguza ukabeba hata Kwa miez mitano tu hahaha!!
Daaahh!! unanikumbusha mbali sana ikifika hatua hii ni kwenda kwenye mahakama za wanyonge aka kuloga yule singo maza aliyenitesa huku nimemtunzia mtoto wake,alikaa bure kwangu,mahakama ikambeba na nyumba akasema tumejenga wote na mshahara nikatwe nilitaka nimfyatue juu kwa juu haji kunisahau kilichomwokoa kumbe mama yake alichepuka sio mtoto wa yule mzee nilivotaja majina matatu yakapishana ila komboraaaa lilimpata........
 
daaahh!! unanikumbusha mbali sana ikifika hatua hii ni kwenda kwenye mahakama za wanyonge aka kuloga yule singo maza aliyenitesa huku nimemtunzia mtoto wake,alikaa bure kwangu,mahakama ikambeba na nyumba akasema tumejenga wote na mshahara nikatwe nilitaka nimfyatue juu kwa juu haji kunisahau kilichomwokoa kumbe mama yake alichepuka sio mtoto wa yule mzee nilivotaja majina matatu yakapishana ila komboraaaa lilimpata........
Aiseee kwahiyo uliamua kumuendea Kwa fundi baada ya mahakama kumbeba, Ila inabidi wa define upya hizi haki sawa
 
Jamani kwani hamjasikia Kiba anadaiwa Milioni Nne kilammwezi za Maziwa? hahaaa tena milioni nne ya Kenya, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili tu , ndiomaana wazee wetu walikua wana akili sana utasikia , mjinga kama mamaako huwezi kusikia hiyo kitu kwa wanaume . Janja janja on the move
Kasome vizuri sio ya KSH.ni TSH.
 
Kama mtoto ana umri chini ya miaka 7 huwezi kumchukua

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sio kweli anaweza akawa na chini ya miaka 7, ukapewa , kutokana kwa mama kuwa na mazingira sio rafiki kwa malezi ya mtoto, Vile vile anaweza kuwa na zaidi ya miaka 7, ukanyimwa(baba) kumtunza!!kuna mambo mengi hutazamwa
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
Mjinga hujifariji , our kids our every thing.
Hajui na anajidanganya
Think twice .
 
Nyie mnawazaga kukomolewa tu. Lakini sio.

Huenda mngewabeba hawa viumbe kwa miezi 9 mngeelewa kidogo ile attachment ya mtoto na Mama yake.

Sasa mfano mumeachana sababu mwanaume ni mhuni. Mtoto atakuwa exposed kwa mambo mangapi?

Our kids are our everything. Our happiness, our comfort when lonely, and they keep us sensible and sane.
May be uwezo wa huyo dada,ila ningeshauri ata hayo matunzo asiyadai,alee mwenyewe.Mama yuko hai wewe mwanaume unawaza nn kwamba uishi na mtoto?? Umchukue mtoto umlee na mama wa kambo while mamake yupo??? Uchoyo tu na ubinafsi unawasumbua wanaume.Baadhi yao wana roho za kutu sana.Kama hutaki kulea hadi hilo sharti achaa,ila jua kutokulea mwanao ni kama unafanya dhuluma kwa kiumbe huyo asiye na hatia.it is up to u
 
Back
Top Bottom