Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Mkuu.. nikushukuru tu kuja kunyoosha huu uzi.. M/MUNGU akubariki tu na sio kingine mkuu ubarikiwe na Asante
Amina ... Amina mkuu. Ni jukumu letu kunyoosha jamii hata kwa nguvu ikibidi. Ni jukumu letu.
 
Shika kwanza adabu yako. Udogo huo unaongelea ni wa size ya kiatu au size ya kiuno cha suruali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vyotevyote tu. na ulivokuwa mkali inachangia.😁😁😁
 
Kwa muda mrefu wanaume wamekuwa wakisemwa na kulaumiwa kuwa ni wanyanyasaji na watesi kwa wanawake. Hii imepelekea malalamiko haya kukaa vichwani mwa mabinti na kuamini kuwa hata wanapokosea ni mwanaume ndie chanzo bila hata ya ushahidi.

Ndio maana leo unaweza kuta mwanamke amepigwa na mumewe jamii itaanza kumlaumu mwanaume direct sababu ya kuamini mwanamke ni victim until proven to be otherwise.

Ila tunasahau kuwa binadamu wana evolve. Wanawake wale waliokuwa wanaheshimu na kuitumikia ndoa wanayeyuka kinakuja kizazi cha wanaotaka kutumika kwaza then wakishachakazwa ndio waitafute ndoa bila aibu.

Sasa kwasababu jamii imekalia upofu kuhusu mienendo ya watoto wa kike basi wacha na sisi tuwaache watumike, tutaona mbele ya safari.
 
Sio kina mama wote wapo ivo,hiyo unayosemea ni baadhi tu,wa mama wengi ni wenye mapenzi na watoto wao.mwanamme akipewa mtoti wake alee,lazima ataomba msaada kwa mama yake,dada ake au mfanya kazi wa ndani,sasa hao unaawaamini zaidi kwa mwanao kuliko mzazi alomzaa??
 
Mchezo wa kipumbavu sana huu. Mwanamke kama huyo anatakiwa kuwekwa jela hata miaka kumi akitoka awe amenyooka akome kucheza na akili za watu.

Maana kwa masihara ya namna hiyo unaweza kutana na mtu akili zake zimechemka akakulamba panga la kichwa na katoto akakaulia mbali maana anaona sio damu yake.

Unajua kuna mambo yanaonekana simple kwa macho ila katika uanaume ni maumivu makali sana. Kama kulea mtoto ambae unaaminishwa ni bao lako kumbe sivyo.

Hiyo ni dhambi ya umauti sababu mtu anaweza dhuru huyo mtoto kwa hasira hata kama kunakwenda jela.
 
Kupiga picha na mtoto ili kupata likes.
Eeh..watajua hawajui... Shwain kabisaa!! Kama sijui kulea angeonekana hata kwenye hiyo picha?
Napiga nao picha coz their my pride! Hapo utakuta libaba lisilohudumia hata 100 linakuja kuiba picha..hahahahaa!
 
Kumhudumia ni swala moja. Malezi ya maadili ni jambo jingine. Unaona kama akina shilole, kajala, auntie Ezekiel, etc hawa watoto wao wanakula vizuri na wanavaa na kusomeshwa ila yale malezi ni mwanaume mpumbavu tu atakubali mtoto wake apitie hata kama mama mtu atang'ang'ania.

Huwezi kaa na mtoto wa mwanaume anaejitambua halafu unaishi maisha ya kukosa maadili na yeye akakuachia. Yaani uniharibie tabia ya mtoto kisa unataka tu kukaa nae. Mimi nitakunyang'ata tu. Na kama ni mwanamke unaejitambua nitaanzaje kukuacha na ni mama mzuri kwa watoto wangu na ni mke serious.

So inaanza na wewe mwanamke. Userious wako ndio utaamua hatima ya mahusiano yako.
 
Sasa mkuu maswala mingine awajibike Nani mfano vifaa vya shule na nguo zakawaida ?
 
Sio wanawake wote

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ningesema wanawake wote ningemaanisha hata mama yangu yumo humo.

Sasa sijui unamaanisha nini kusema sio wanawake wote na wakati mimi najua ni sio wanawake wote. Ningesema wanawake wote inamaana dunia nzima hakuna mwanamke mzuri hata m'moja of which is impossible.

Sasa wewe baada ya kuonyesha umeelewa nilichosema unaanza kukosoa kwa kuongea ambacho sijamaanisha.
 
Tangu niingie hili jukwaa sijawahi nakukutana na comment Bora kama hii yako hongera Sana mzee baba inaatahili ifanyiwe lamination mzee baba umepiga kunako
Hapa ndio nipo stationary naongea najamaa aiprint iwekwe kwenye frame ili vizazi vijavyo viikute pale makumbusho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu mlikutana mwezi uliopita unasikia sms, nina ujauzito wako. Ukiuliza wa tokea lini anakwambia una mwezi na wiki kadhaa. Khaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kwann unakaa kimya mimi si ndio baba mtoto.
 
Hakunaga mwanaume asikuwa na ufahari katika kulea mtoto wake. Shida inaanza na misotojo yenu isiyo na mbele wala nyuma.

Hamna focus nzuri ya mahusiano. Wewe baba mtoto unagombana nae halafu unaanza kujihusisha na wanaume wengine halafu utegemee ashirikiane na wewe kimalezi utakuwa haupo sawa kichwani.

Jiheshimu in the first place mwanaume hatotoka nje hata iwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…