Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Mkuu.. nikushukuru tu kuja kunyoosha huu uzi.. M/MUNGU akubariki tu na sio kingine mkuu ubarikiwe na Asante
Amina ... Amina mkuu. Ni jukumu letu kunyoosha jamii hata kwa nguvu ikibidi. Ni jukumu letu.
 
Shika kwanza adabu yako. Udogo huo unaongelea ni wa size ya kiatu au size ya kiuno cha suruali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vyotevyote tu. na ulivokuwa mkali inachangia.😁😁😁
 
Wnawake wachache siku hizi ndio hulea watoto,watoto wengi hulea na mabeki tatu au bibi wenyewe kazi yao ni kupwiyanga na kuzurula. Halafu unaninyima mimi kumlea mtoto ambaye kishavuka miaka saba then,unamuamini baba wa kambo tena mtoto wenyewe wa kike.
Kwa muda mrefu wanaume wamekuwa wakisemwa na kulaumiwa kuwa ni wanyanyasaji na watesi kwa wanawake. Hii imepelekea malalamiko haya kukaa vichwani mwa mabinti na kuamini kuwa hata wanapokosea ni mwanaume ndie chanzo bila hata ya ushahidi.

Ndio maana leo unaweza kuta mwanamke amepigwa na mumewe jamii itaanza kumlaumu mwanaume direct sababu ya kuamini mwanamke ni victim until proven to be otherwise.

Ila tunasahau kuwa binadamu wana evolve. Wanawake wale waliokuwa wanaheshimu na kuitumikia ndoa wanayeyuka kinakuja kizazi cha wanaotaka kutumika kwaza then wakishachakazwa ndio waitafute ndoa bila aibu.

Sasa kwasababu jamii imekalia upofu kuhusu mienendo ya watoto wa kike basi wacha na sisi tuwaache watumike, tutaona mbele ya safari.
 
Aaaah hapana. Mapenzi ndio nini....?!

Mapenzi ya kumpost Instagram ili upate likes, ila nyuma ya pazia mtoto unafeli kumtrain aje kuwa mtu wa kueleweka?!

Siku hizi wanawake mtoto anatimiza hadi miaka mitatu bado mnavalisha diapers, mtoto hajui hata kusema poti liko wapi ajiongeze.

Mtoto anakuwa na adabu mbovu, inamwita anajibu "sitaki" ukifuatilia unagundua mama ndie ulimfunza hiyo tabia ya kujibu shoti tokea utoto wake akiwa kichanga.

Kuna mengi mnakosea siku mkianza kukaa sawa mtaona kama hizi lawama zitakuwa tena mitandaoni
Sio kina mama wote wapo ivo,hiyo unayosemea ni baadhi tu,wa mama wengi ni wenye mapenzi na watoto wao.mwanamme akipewa mtoti wake alee,lazima ataomba msaada kwa mama yake,dada ake au mfanya kazi wa ndani,sasa hao unaawaamini zaidi kwa mwanao kuliko mzazi alomzaa??
 
Of a very recently kuna jamaa mkewe ameamua kuondoka walipokuwa wanaishi na mumewe baada ya mke kufahamu kuwa mume wake amezaa na mchepuko ambae alikuwa akiwastukia uhusiano wao tangu mwanzoni mwa ndoa yao na wakajifanya kukataa kuwa na uhusiano baina yao lakini kila mara alikuwa akikuta mawasiliano kati yao ya yule mwanamke kumuomba hela na Miamala kutumwa kwa yule mwanamke.
Ndoa ina Miaka takribani 10.

Mwanamke anawekwa mjini na huyo mwanaume maana hana kazi yoyote hata ya kumuingizia shilingi 100.

Mke kasema hawezi kuishi ukewenza na mchepuko mwenyewe mchawi amekuwa akiwaroga mume na mke kwa miaka mingi.

Mke ameondoka amemwambia nawapisha muishi na mchepuko wako maana nilikuwa nawabana mnakosa Uhuru sasa kuweni huru mjiachie. [emoji3]

Sasa kumbe yule mchepuko mtoto amewapa wababa 3 mtoto huyo mmoja.

Mke kasema anaomba Mungu amfunulie mtalaka wake ajue jinsi alivyoingizwa mkenge na huyo kahaba wa jiji.

Sasa mwanamke kama huyo unazani atakubali kumpa mtoto baba mojawapo kati ya hao watatu?

Atawaambia nini hao wengine wawili?

Na wote watatu anapokea matunzo ya mtoto!

Anajifanya mtoto Mdogo ana miaka 2 mpaka afikishe miaka 7 hiyo sababu ni ya kuwapa mtoto wanaume watatu .

Na hata mtoto akifikisha miaka 7 Ata tafuta kimsingizio kingine sababu anachokifanya anakijua.
Mchezo wa kipumbavu sana huu. Mwanamke kama huyo anatakiwa kuwekwa jela hata miaka kumi akitoka awe amenyooka akome kucheza na akili za watu.

Maana kwa masihara ya namna hiyo unaweza kutana na mtu akili zake zimechemka akakulamba panga la kichwa na katoto akakaulia mbali maana anaona sio damu yake.

Unajua kuna mambo yanaonekana simple kwa macho ila katika uanaume ni maumivu makali sana. Kama kulea mtoto ambae unaaminishwa ni bao lako kumbe sivyo.

Hiyo ni dhambi ya umauti sababu mtu anaweza dhuru huyo mtoto kwa hasira hata kama kunakwenda jela.
 
Kupiga picha na mtoto ili kupata likes.
Eeh..watajua hawajui... Shwain kabisaa!! Kama sijui kulea angeonekana hata kwenye hiyo picha?
Napiga nao picha coz their my pride! Hapo utakuta libaba lisilohudumia hata 100 linakuja kuiba picha..hahahahaa!
 
Kusema kweli mkuu mim siwezi kumuacha mtoto angu aende kuishi kwa baba ake.......ni bora nipambane mwenyewe kuhakikisha mtoto angu anapata huduma zote muhimu......Sasa hapo ndo baba ajiongeze kua anakuja kumtizama yeye mwenyewe akishindwa imekula kwake[emoji41][emoji41]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kumhudumia ni swala moja. Malezi ya maadili ni jambo jingine. Unaona kama akina shilole, kajala, auntie Ezekiel, etc hawa watoto wao wanakula vizuri na wanavaa na kusomeshwa ila yale malezi ni mwanaume mpumbavu tu atakubali mtoto wake apitie hata kama mama mtu atang'ang'ania.

Huwezi kaa na mtoto wa mwanaume anaejitambua halafu unaishi maisha ya kukosa maadili na yeye akakuachia. Yaani uniharibie tabia ya mtoto kisa unataka tu kukaa nae. Mimi nitakunyang'ata tu. Na kama ni mwanamke unaejitambua nitaanzaje kukuacha na ni mama mzuri kwa watoto wangu na ni mke serious.

So inaanza na wewe mwanamke. Userious wako ndio utaamua hatima ya mahusiano yako.
 
Mtoto kuanzia miaka 9-11 anaruhusiwa kuishi mbali na mama yake, kisheria kumuhudumia mtoto kila mwezi ni debe moja la mahindi na pesa 20000 elfu ,yaani ww baba unatakiwa utoe debe moja la mahindi na pesa taslim sh elfu ishirini, hapo umefuata taratibu za kiselikali, kuhusu huduma ya afya kuna ile bima ya 30 eflu ambayo haitoki nje ya mkoa nenda kamkatie .baba ndio anatakiwa atoe mtunzo ya mtoto mama anamuhumia kumfulia kumpikia nk. Kingine mwambie huyo mwanamke asilalalmike na kuchukua hiyo kama njia ya kipato mmbadala ashukuru kwa kuitwa mama baada ya kuzaa huyo mtoto
Sasa mkuu maswala mingine awajibike Nani mfano vifaa vya shule na nguo zakawaida ?
 
Sio wanawake wote

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ningesema wanawake wote ningemaanisha hata mama yangu yumo humo.

Sasa sijui unamaanisha nini kusema sio wanawake wote na wakati mimi najua ni sio wanawake wote. Ningesema wanawake wote inamaana dunia nzima hakuna mwanamke mzuri hata m'moja of which is impossible.

Sasa wewe baada ya kuonyesha umeelewa nilichosema unaanza kukosoa kwa kuongea ambacho sijamaanisha.
 
Tangu niingie hili jukwaa sijawahi nakukutana na comment Bora kama hii yako hongera Sana mzee baba inaatahili ifanyiwe lamination mzee baba umepiga kunako
Hapa ndio nipo stationary naongea najamaa aiprint iwekwe kwenye frame ili vizazi vijavyo viikute pale makumbusho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anaejua
Kalenda ya siku za uzazi ni mwanamke, hivyo mimba ikitokea ni mwanamke amependa kwa kuitegesha makusudi au kwa uzembe wa kutokujijali ambapo vyote havifai.

Raha ya mimba ni ridhaa ya Mwanaume na mwanamke mkubaliane kuwa mnahitaji
Mtoto.

Actually hiyo hupelekea hata mtoto atakayezaliwa kukubalika na kufanikiwa maishani zaidi ya wale ambao wamejikuta wamezaliwa tu bila wazazi kukubaliana .

Na hiyo siyo kwa michepuko tu lakini hata ndani ya ndoa ni vizuri kupanga na kukubaliana kuzaa kwa kila mtoto, inamaana kubwa sana.
Mtu mlikutana mwezi uliopita unasikia sms, nina ujauzito wako. Ukiuliza wa tokea lini anakwambia una mwezi na wiki kadhaa. Khaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kwann unakaa kimya mimi si ndio baba mtoto.
 
Ndo maana wengine tunawabadilisha watoto wetu tu ubini ili tujue moja kuwa baba hahusiki kwa sababu mnaona siyo haki yenu kutunza watoto ambao ni mbegu zenu.

As long as wewe ni BABA, ni jukumu lako kulea mwanao bila kuhoji unless hali yako ya uchumi iwe hairuhusu then ndo ulazima unakuja hapo wa kusaidiana.

Just bcoz mama anakaa na mtoto wenu, unadhani hajipindi mgongo na kujibana ili mtoto apate kila anachokitaka? Ila nyie wanaume suruali mkikumbushwa tu majukumu mnaanza malalamiko.

SHAME ON YOU.
Hakunaga mwanaume asikuwa na ufahari katika kulea mtoto wake. Shida inaanza na misotojo yenu isiyo na mbele wala nyuma.

Hamna focus nzuri ya mahusiano. Wewe baba mtoto unagombana nae halafu unaanza kujihusisha na wanaume wengine halafu utegemee ashirikiane na wewe kimalezi utakuwa haupo sawa kichwani.

Jiheshimu in the first place mwanaume hatotoka nje hata iwaje.
 
Back
Top Bottom