Mtoto kuanzia miaka 9-11 anaruhusiwa kuishi mbali na mama yake, kisheria kumuhudumia mtoto kila mwezi ni debe moja la mahindi na pesa 20000 elfu ,yaani ww baba unatakiwa utoe debe moja la mahindi na pesa taslim sh elfu ishirini, hapo umefuata taratibu za kiselikali, kuhusu huduma ya afya kuna ile bima ya 30 eflu ambayo haitoki nje ya mkoa nenda kamkatie .baba ndio anatakiwa atoe mtunzo ya mtoto mama anamuhumia kumfulia kumpikia nk. Kingine mwambie huyo mwanamke asilalalmike na kuchukua hiyo kama njia ya kipato mmbadala ashukuru kwa kuitwa mama baada ya kuzaa huyo mtoto