Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

Kwahiyo ukikuta amefurahi sana siku hiyo anakutoza 30%, akiwa amenuna sana au akiona umevaa jezi ya timu ambayo haipendi anakutandika 50%, sio?
Swala la msingi ni unapoagiza mzigo toka nje ya nchi uwe tayari kulipia kodi.

Je ni kiasi gani cha kodi: Kati ya asilimia 30-50% na wakati mwingine hufikia hadi asilimia 100% iwapo wata uplift value ya bidhaa husika iwapo declared value imekataliwa na wao kuweka yao (accessesd value), kuna mfamo nimeweka hapa: Kukatwa kodi kwa mizigo
 
Sawa mkuu.
Pia mkuu nina swali, kuna deadline ya kufuata mzigo wangu POSTA?
Maana nafikiria kuwaachia tu kwasasa waendelee kukaa nao, halafu niufuate mwakani.
Mkuu ni posta ya Dar sindio, make hapa Mwanza waliwai nipa majibu haya, mizigo midogo yote kutoka nje ya Nchi haikatwi kodi ya aina yoyote, nkawaambia nikiwa Dodoma nimewai kuombwa kodi, wakanambia ulipigwa.
Malalamiko mengi ya kukatwa kodi nimeyaona humu jukwaani kwa watumiaji kutoka Dar.
 
Kisheria Tra wanatakiwa kuwepo popoote mizigo inaposhushwa, sema huko mikoani watu wana enjoy maana posta za huko hazina maafisa wa Tra wanaofanya assessment.
 
Njia nyingine mwambie seller akutumie invoice ya uongo ili ukakabane nao, kama ni AliExpress ndo wazoefu wa hizi kazi.
Ali express inawezekana kupunguza invoice ila hicho kitu kisiwe maarufu., ila sellers wa us hawakubali huo ujinga, ulicholipa wanaandika kwenye invoice.
 
Kisheria Tra wanatakiwa kuwepo popoote mizigo inaposhushwa, sema huko mikoani watu wana enjoy maana posta za huko hazina maafisa wa Tra wanaofanya assessment.
Wakaa Daslam taabu mnayo na jiji lenu, wajuaji wengi.
 
Sawa mkuu.
Pia mkuu nina swali, kuna deadline ya kufuata mzigo wangu POSTA?
Maana nafikiria kuwaachia tu kwasasa waendelee kukaa nao, halafu niufuate mwakani.
Wataurudisha ulipotoka na siku hizi posta pia kuna storage. The max wanaeza kukaa na mzigo wako ni mwezi mmoja
 
Ali express inawezekana kupunguza invoice ila hicho kitu kisiwe maarufu., ila sellers wa us hawakubali huo ujinga, ulicholipa wanaandika kwenye invoice.
Niliagizax kitu cha 270K hivi, seller kwenye package bila hata kumwambia aliandika mzigo ni wa $27 nilipo muomba invoice akanipa 2, moja ya 27 na nyingine bei ya kweli.
Wanajuaga upigaji kwenye Posta zetu so hua wanafanya hivyo kutulinda tu, Mchina na Pesa ndo yeye.
 
Mkuu ni posta ya Dar sindio, make hapa Mwanza waliwai nipa majibu haya, mizigo midogo yote kutoka nje ya Nchi haikatwi kodi ya aina yoyote, nkawaambia nikiwa Dodoma nimewai kuombwa kodi, wakanambia ulipigwa.
Malalamiko mengi ya kukatwa kodi nimeyaona humu jukwaani kwa watumiaji kutoka Dar.
Me nipo mkoa wa Pwani, lakini mzigo wangu umezuiwa Dar, wameniambia huku nilipo hakuna wakaguzi wa TRA, hivyo natakiwa nifuate mzigo wangu Dar.
 
Nipo nipo mkoa wa Pwani, lakini mzigo wangu umezuiwa Dar, wameniambia huku nilipo hakuna wakaguzi wa TRA, hivyo natakiwa nifuate mzigo wangu Dar.
Du! Usikate tamaa kuagiza next time agiza kwa kutumia mkoa wako, mi gu nikiona hata hapa posta za town kuna nongwa, Adress najaza ya Bugando make kuna katawi ka Posta, pale muhudumu ni mmoja so hata kama kuna lolote ni rahisi kuyajenga.
 
Ungekuwa upo mikoa ya mbali ungeupata mzigo wako bila kukutana na Tra, pwani ni karibu na mjini ndo maana wanakutingisha,
kwa sheria za world post inatakiwa mzigo uletwe kwenye posta karibu yako, akama hiyo posta haina maafisa kodi hizo sio shida zako.
 
Du! Usikate tamaa kuagiza next time agiza kwa kutumia mkoa wako, mi gu nikiona hata hapa posta za town kuna nongwa, Adress najaza ya Bugando make kuna katawi ka Posta, pale muhudumu ni mmoja so hata kama kuna lolote ni rahisi kuyajenga.
Mkuu, nimeagiza kwa kutumia taarifa za mkoa wangu, mkoa wa Pwani, lakini mzigo umezuiliwa Dar.
 
Back
Top Bottom