Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

Kwahiyo niende POSTA iliyopo eneo langu, wao watafanya mawasiliano na POSTA ya Dar ili mzigo wangu utumwe?
Ndio sheria za posta zinavyosema huwezi chukua mzigo kwenye posta isiyo karibu nawe,
 
Mkuu, mbona ukisoma taratibu uzi wangu utaelewa sababu ya mimi kuuliza kabla sijakwenda.

Anyways, tufanye nimefunga safari nimeenda kufuata mzigo. Kumbuka nipo nje ya mji, sipo Dar es Salaam. Nafika Posta kwenye wallet yangu kuna 40000, nafika pale ninaambiwa nilipie kodi 60000. Unadhani itakuwa sawa mimi kurudi ninapoishi kufuata pesa iliyopungua kisha nifunge tena safari nikachukue mzigo wangu?
Inaondoka na kibubu chote
 
Naomba kuelekezwa namna ya kununua vitu zaidi ya viwili vyenye rangi tofauti kutoka kwa seller au store moja kwenye soko la AliExpress..

Nimejaribu kununua mashati matatu tofauti kutoka Kwa seller mmoja Kwa ku-add kwenye cart, ajabu bei ya usafiri wamejumlisha kutoka kwenye kila shati na kupata jumla $15. Je, ukokotoaji huo ni sahihi na kama ni hivyo, Ina maana kila shati litakuja kivyake?.

Pia, nawezaje kuwasiliana na sellers wa AliExpress, nimetafuta option lakini sikuiona.
 
Hakuna unafuu wa maisha , wanataka watu wawe na maisha duni
 
Back
Top Bottom