Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

Mkuu, nimeagiza kwa kutumia taarifa za mkoa wangu, mkoa wa Pwani, lakini mzigo umezuiliwa Dar.
Wanakuonea, posta wanabanwa na sheria za kimataifa, kama pwan ofisi haina Tra hilo sio kosa lako
 
Ungekuwa upo mikoa ya mbali ungeupata mzigo wako bila kukutana na Tra, pwani ni karibu na mjini ndo maana wanakutingisha,
kwa sheria za world post inatakiwa mzigo uletwe kwenye posta karibu yako, akama hiyo posta haina maafisa kodi hizo sio shida zako.
Mimi nilishangaa siku wananitumia sms nifuate mzigo wangu Dar.
 
Mkuu, nimeagiza kwa kutumia taarifa za mkoa wangu, mkoa wa Pwani, lakini mzigo umezuiliwa Dar.
Du! Hilo sasa kazi mkuu, kuna jamaa ananjaa hapo ndo anataka kukuliza, ukifika lia sana muelewane unaweza toa hata 50K, watanzania kila kitu kinazungumzika ila Pole sana.
Watafanya tushindwe kua tuna agiza online kwa mambo haya.
 
Hiyo pesa ya nauli ambayo nitatumia ilikuwa ndio itumike kwenye kulipia kodi.
Watumishi wa umma wa nchi yetu ni pasua kichwa.
 
Kwahiyo hapo nafanyaje mkuu, kuna ushauri?
Nenda posta yako dai mzigo wako kwa anuani yako ulipo, kama Tra waje hapo pwani,
Kwa sheria za posta ni makosa kuchukua mzigo ulio nje ya anuani yako.
 
Bro upo mkoa gani.. ila huo nenda na 30k
Watoe hapo upewe mzigo wako
Usipende kuwa straight sana utaumia
 
Ni kweli, Ukifika utapewa control number a utalipia.

Katika mwongozo wa kodi inaonesha ni kati ya asilimia 30% hadi 50% ya invoice value.

Hiyo huwa haikwepeki. Na wakati mwingine hujitokeza gharama ya kodi kuzidi gharama ya manunuzi + usafiri. Yaani kodi inakuwa ni zaidi ya asilimia 100%.

Hii imejitokeza kwangu mara kadhaa, Mwana JF mmoja alilazimika kuutelekeza mzigo( Huu ulitoka ebay). Naa mwana JF mwingine aliamua kulipia hivyo hivyo( Mzigo huu ulitoka aliexpress), hakika inaumiza sana.

Hata mimi binafsi nishawahi telekeza mzigo baadaya ya ghrama za kodi + clerance kufikia 550,000 wakati thamani ya bdhaa ununuzi + kusafirisha ilikuwa TZS 360,000
Kuna tatizo katika utaratibu au kanuni ya kukokotoa kodi.
 
Nenda posta yako dai mzigo wako kwa anuani yako ulipo, kama Tra waje hapo pwani,
Kwa sheria za posta ni makosa kuchukua mzigo ulio nje ya anuani yako.
Kwahiyo niende POSTA iliyopo eneo langu, wao watafanya mawasiliano na POSTA ya Dar ili mzigo wangu utumwe?
 
Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA.
jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100.
Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA aliyenitumia sms. Mimi nipo nje ya mji, nilimuomba anisaidie kujua gharama za kodi ili nijue kiasi cha pesa nimachotakiwa kwenda nacho kabla sijafunga safari ya kufuata mzigo wangu.
Bila hiyana mtoa huduma amekubali.

MAJIBU SASA: Baada ya mtoa huduma wa POSTA kukubali kunisaidia kuuliza gharama za kodi ninazotakiwa kulipia, amekuja na jibu kwamba ninatakiwa kulipia pesa taslimu shilingi laki moja na thelathini (137000), hii ni pesa za Kitanzania.

Sasa hapa nimebaki najiuliza maswali, hivi ni kweli kitu nilichokinunua kwa dola 100 (sawa na shilingi za Kitanzania 272000) natakiwa kukilipia kodi ya shilingi za Kitanzania 137000?
Watanzania wenzangu, hivi hii ni kweli au kuna makosa sehemu?

Hivi ni kweli serikali yetu imewapa TRA mamlaka ya kututoza Watanzania kodi zaidi ya 50% ya bei tunayonunulia vitu.

Aione!
Chief-Mkwawa
Wangekuchaji kodi elfu30 au 40 ndio ilibidi ushangae, tz ni nchi ya makodi makubwa
 
Kwahiyo niende POSTA iliyopo eneo langu, wao watafanya mawasiliano na POSTA ya Dar ili mzigo wangu utumwe?
Utalipa tena hela ya usafiri, kwani wewe adress uliandika wapi?
 
W
Ni kweli, Ukifika utapewa control number a utalipia.

Katika mwongozo wa kodi inaonesha ni kati ya asilimia 30% hadi 50% ya invoice value.

Hiyo huwa haikwepeki. Na wakati mwingine hujitokeza gharama ya kodi kuzidi gharama ya manunuzi + usafiri. Yaani kodi inakuwa ni zaidi ya asilimia 100%.

Hii imejitokeza kwangu mara kadhaa, Mwana JF mmoja alilazimika kuutelekeza mzigo( Huu ulitoka ebay). Naa mwana JF mwingine aliamua kulipia hivyo hivyo( Mzigo huu ulitoka aliexpress), hakika inaumiza sana.

Hata mimi binafsi nishawahi telekeza mzigo baadaya ya ghrama za kodi + clerance kufikia 550,000 wakati thamani ya bdhaa ununuzi + kusafirisha ilikuwa TZS 360,000
Wanakomoa wanataka..uagize kupitia makampuni Yao binafs
 
Back
Top Bottom