Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.

Je utaratibu wa kisheria ukoje
Unaanzi mahakamani kwenye kiapo, nenda kwenye mahakama utalimaliza hapohapo, shuleni unapeleka jina la zamani na jipya.
 
WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.

Je utaratibu wa kisheria ukoje
Umejibiwa vizuri sana kuwa haiwezekani kubadilisha jina hata iweje na hata ukifanikiwa mahakamani NECTA hawatabadilisha chochote.
Kwa sababu taarifa za mwanafunzi zinapaswa ziwiane kwa kila kitu.
 
WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.

Je utaratibu wa kisheria ukoje
Mkuu naona ulimpa mtoto wako jina la kwenye bibilia (yeremia) Sasa amegundua halimfai anataka aitwe Tupac. Unaanza kuhangaika.
Kama unaendea kuzaa usirudie tena kosa kama hilo.
 
Dah! Nami nahangaika na ishu hiyohiyo, maaana wkt Nesi aliekuwa anaandika jina baada ya Mtoto kuzaliwa alikuwa na tatizo la matamshi, baada ya kuandika Najmah yy akaandika Najimah, sasa ishu kuitoa hiyo i ndio shida na Dogo yupo darasa la3 na keshazoea kundika Najma
 
Suala lako ndogo sana linawezekana kutatuliwa kabla hajafanya mtihani wa darasa la nne.
 
Sijui kwa sasa ila zamani kulikuwa na fomu flani hivi ulikuwa unajaza kabla ya kufanya mtihani wa kidato cha nne,,na watu walikuwa wanabadili majina,,,
 
Hii swala imekuwa changamoto,nami limenikuta kwa mtoto wa darasa la sita Mwalimu ameniambia haiwezekani chakunishauri nikwamba nikabadili jina RITA ili cheti chamtoto kiendane na jina lamtoto shuleni..mistek iliyotokea nikwamba mtototo anaitwa SUMA baba anaitwa BAHATI JUMA KINGAZI sasa shuleni aliandikwa kwa majina mawili SUMA BAHAT baadae kwene kuandika majina matatu jina latatu mtoto akawatajia jina la JUMA badala ya Jina la ukoo KINGAZI,kwaiyo shuleni anaitwa SUMA BAHAT JUMA badala ya SUMA BAHAT KINGAZI sasa kwene kulipachika jina la ukoo ndio imekuwa ishu ,tunapoelekea naona atatumia majina Manne kama anko Magu
 
Back
Top Bottom