Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Unaanzi mahakamani kwenye kiapo, nenda kwenye mahakama utalimaliza hapohapo, shuleni unapeleka jina la zamani na jipya.WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
Unaapa mahakaman au kwa mwanasheria??Unaanzi mahakamani kwenye kiapo, nenda kwenye mahakama utalimaliza hapohapo, shuleni unapeleka jina la zamani na jipya.
Umejibiwa vizuri sana kuwa haiwezekani kubadilisha jina hata iweje na hata ukifanikiwa mahakamani NECTA hawatabadilisha chochote.WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
Mkuu naona ulimpa mtoto wako jina la kwenye bibilia (yeremia) Sasa amegundua halimfai anataka aitwe Tupac. Unaanza kuhangaika.WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
siwezMkuu naona ulimpa mtoto wako jina la kwenye bibilia (yeremia) Sasa amegundua halimfai anataka aitwe Tupac. Unaanza kuhangaika.
Kama unaendea kuzaa usirudie tena kosa kama hilo.
Jina lina shida gani?Linamuathiri vipi kwa sasa au huko mbeleni?Alipewaje hilo jina?WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
huu ndio ukweli.Kubadili jina ni mchakato wa kisheriaUmejibiwa vizuri sana kuwa haiwezekani kubadilisha jina hata iweje na hata ukifanikiwa mahakamani NECTA hawatabadilisha chochote.
Kwa sababu taarifa za mwanafunzi zinapaswa ziwiane kwa kila kitu.
Suala lako ndogo sana linawezekana kutatuliwa kabla hajafanya mtihani wa darasa la nne.Dah! Nami nahangaika na ishu hiyohiyo, maaana wkt Nesi aliekuwa anaandika jina baada ya Mtoto kuzaliwa alikuwa na tatizo la matamshi, baada ya kuandika Najmah yy akaandika Najimah, sasa ishu kuitoa hiyo i ndio shida na Dogo yupo darasa la3 na keshazoea kundika Najma
Mkuu Necta wanakataaSuala lako ndogo sana linawezekana kutatuliwa kabla hajafanya mtihani wa darasa la nne.
Hapo sawa.siwez
Mtoto hajafanya mtihani wa upimaji wowote hivyo inawezekana. Nenda shuleni kazungumze na mwalimu mkuu ukiwa na cheti chako cha kuzaliwa.Mkuu Necta wanakataa
Naanzia wapi Mkuu?Suala lako ndogo sana linawezekana kutatuliwa kabla hajafanya mtihani wa darasa la nne.
Hili ndilo jibu sahihi.Umejibiwa vizuri sana kuwa haiwezekani kubadilisha jina hata iweje na hata ukifanikiwa mahakamani NECTA hawatabadilisha chochote.
Kwa sababu taarifa za mwanafunzi zinapaswa ziwiane kwa kila kitu.