Kweli ndo rais...Tena wamama ndo rahisi kusikilizwaYaan ww[emoji28][emoji28][emoji28]
Parody fc[emoji28][emoji28] usishangae sana[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji849][emoji849][emoji849]
Sure kweli wit! Halaf bday Lin?? Kipind kile nlimiss [emoji513]Kweli ndo rais...Tena wamama ndo rahisi kusikilizwa
Andika namba yako fasta kabla haujapigwa ban basiNjoo nikupe tigo me natoa
Rebeca 83 notice ruti unayoipita uko kwenye stages za kuelekea kwenye depression. Upo kwenye stage ya denial ushapoteza imani na sisi binadamu na unataka kuziba kilichokukuta na umeshatoka kwenye kujilaumu.
Nataka ujue pia hiyo ni namna yangu ya kistaarabu ya kukwambia "You are taking the Don Nalimison route" usiende huko.
Katika hao watu hapo kuna mmoja atatupilia maombi yako chooni! Usiulize kwanini, hii ndio Tanzania na siajabu yasivuke kwa sekretare wa mmoja wapo hapo.Unapeleka maombi kwa Mkuu wa Wilaya anayafikisha kwa Mkuu wa Mkoa nae anayapeleka kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndipo kama Kuna umuhimu tarehe inapangwa.
Kwa nidhamu za kiofisi unatakiwa kufahamishwa kila hatua ilipofikia.Katika hao watu hapo kuna mmoja atatupilia maombi yako chooni! Usiulize kwanini, hii ndio Tanzania na siajabu yasivuke kwa sekretare wa mmoja wapo hapo.
Basi kwakua unajua ruti uliyoichagua sioni kama itakua shida sana. Na iwe kama Anavyotaka iwe.Ni kweli niko kwenye denial, ila ni natural proccess hata nikipata depression, haitadumu itapita...
Hata akudo wana rais wao mkuu.Mzee kwani kuna Rais Wangapi Tanzania hii[emoji848]
Labda uende na sura inayoonekana kwenye vyombo vya habari vya serikali kama escort wako. Otherwise inakula!Kwa nidhamu za kiofisi unatakiwa kufahamishwa kila hatua ilipofikia.
π π π π π πAndika namba yako fasta kabla haujapigwa ban basi
Basi kwakua unajua ruti uliyoichagua sioni kama itakua shida sana. Na iwe kama Anavyotaka iwe.
mbona yupo humu jf ......
Kwakweli Ulaya hata ukiandika malalamiko yako kwa kampuni, wakiipata barua yako tu wanakujulisha kuwa wameipata na wanaifanyia kazi na baada ya muda wanakujulisha maamuzi waliyochukua.Labda uende na sura inayoonekana kwenye vyombo vya habari vya serikali kama escort wako. Otherwise inakula!
Ulaya hamna kujuana...Ni mifumo imara tu kila upande ndio maana ukiritimba wa kishamba kama tulionao sisi hakuna. You have queries, you get served on demand! Hamna miyeyusho yeyusho mpaka sijui umhonge mtu.Kwakweli Ulaya hata ukiandika malalamiko yako kwa kampuni, wakiipata barua yako tu wanakujulisha kuwa wameipata na wanaifanyia kazi na baada ya muda wanakujulisha maamuzi waliyochukua.
PMHello JF,
Naombeni mnijuze njia za kumuona Rais,
Kuna jambo nataka tutete π€£ π€£
I am serious, kama unajua please niambie, sitaki kuwaona mawaziri sijui watendaji. Nimekoma, siamini tena mtu, wewe kama unajua number ama hatua za kufuata please niambie.
Ok poasijachagua kama nilivyosema ni natural, ukitapeliwa una go through a lot of a emotions, guilty, sad , angry with yourself and the world, but people do recover.. ni kipindi tu cha muda...kitapita
kuna raisi wengi tu mbona hii nchi:Mzee kwani kuna Rais Wangapi Tanzania hii[emoji848]