Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

We mvizie kwenye misafara Tena mda huu wa kampeni
Wit, mimi simshauri hivyo bali ajaribu kufuata taratibu nyengine kama alivyo shauriwa mfano atumie email yake au apitie twitter au njia nyengine tumia email ya ikulu pia, njia hizi naamini taarifa zitamfikia, hii ya barabarani mimi huwa naona kama ni risk sana, sijui rebeca utaanzaje, anakuwa amezungukwa na walinzi na watu wake wa karibu kwa asilimia kubwa mnh! hii yataka ujasiri na iwe bahati yako pia.
 
Njia pekee ya kumuona magufuli kirahisi ni kupitia CCM hizo zingine za kiserikali huwezi fanikisha,nenda pale Dodoma onana na Bushiri au Mpogolo watu ambao ni rahisi sana kuonana nao na mara nyingi wapo Dodoma hasa kwa wakati huu.
 
Russu au jina lingine Living Kiwelu ni adui wa maendeleo yetu Tanzania anafaa akamatwe auliwe, Hata hivyo ningependa uko ana na Rais kwa mambo mengine
Nilitaka nikupe connection ila hatua ambayo umefikia ya kuweka Mambo ya kumuua hadharani nimekuona wewe pia ni Mnyama hustahili huruma.

Halafu huoni Kama unajiwekea mazingira magumu ikitokea Huyo Russu Leo akafa kifo Cha kutatanisha. Huoni utakuwa suspect wa kwanza? Hebu tumia mitandao vizuri hata Kama umetapeliwa angalia njia unazozitumia kudai haki yako zisije kukugeuka huko mbele. Ogopa teknolojia taarifa zako zote zinarekodiwa.
 
nisamehe ni hali ya kuwa despair..hivi unaamini nataka auwawe kweli?? mnhhh... sitafuti huruma mkuu..nishahesabu hasara siku nyingi.....
 
Basi nakuomba angalia meseji zako unazopost mitandaoni zisije kukugharimu Tena unataja jina halisi la mtu.

Nakushauri ufute hiyo meseji ya kitisho Cha kifo kwa Huyo mtu uliemtaja ndugu yangu.
 
Haya ngoja niifute, asante,,,
 
Back
Top Bottom