Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kusema upo serious, Narudia tena upo serious?
Unapeleka maombi kwa Mkuu wa Wilaya anayafikisha kwa Mkuu wa Mkoa nae anayapeleka kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndipo kama Kuna umuhimu tarehe inapangwa.
Nimeshajua unae enda kumsemelea...[emoji23][emoji23][emoji23]Hello JF,
Naombeni mnijuze njia za kumuona Rais,
Kuna jambo nataka tutete [emoji1787] [emoji1787]
I am serious, kama unajua please niambie, sitaki kuwaona mawaziri sijui watendaji. Nimekoma, siamini tena mtu, wewe kama unajua number ama hatua za kufuata please niambie.
Hatari sana....[emoji41][emoji41]Duh, mmefikia hatua hii na Russu
Nimeshajua unae enda kumsemelea...[emoji23][emoji23][emoji23]
Living Kiwelu auliwe....Russu au jina kingine Living Kiwelu ni adui wa maendeleo yetu Tanzania anafaa akamatwe auliwe, Hata hivyo ningependa uko ana na Rais kwa mambo mengine
Yule aliye sababisha threads zako zikafutwa...[emoji849]Nimeshajua unae enda kumsemelea...[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule aliye sababisha threads zako zikafutwa...[emoji849]
Sawa mkuuHapana,hata nikimkamata siwezi kuprove unless watu kama TCRA wasaidie......mambo mengine ndio yananivuta kutaka kumuona Rais,ni jambo dogo, ningeweza kuonana na wa chini yake...lakini Becky hapa...nimepoteza imani yangu kwa binadamu
Waheshimiwa si wapo Twitter!
Km kuna sehemu ya sms unamtumia kwa kumwambia una shida nae live, Ila usitoe jambo lako mpaka muonane live....nadhani anaweza asijibu yeye.Mkuu naweza kumtumia Rais ujumbe moja kwa moja huko Twitter??
Km kuna sehemu ya sms unamtumia kwa kumwambia una shida nae live, Ila usitoe jambo lako mpaka muonane live....nadhani anaweza asijibu yeye.
Mkuu njia pekee ninayotumia(ga) ni kukaa pembeni ya barabara wakati msafara wake ukipita...ni njia rahisi sana!Hello JF,
Naombeni mnijuze njia za kumuona Rais,
Kuna jambo nataka tutete 🤣 🤣
I am serious, kama unajua please niambie, sitaki kuwaona mawaziri sijui watendaji. Nimekoma, siamini tena mtu, wewe kama unajua number ama hatua za kufuata please niambie.
Ok nice day, Ila nimeshauri ujaribu tuu sina uhakika Ukifanikiwa nirushie hata buku tuu!Asante mkuu