Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

hauwezi kumpata rais kirahisi hivo kama unaagiza chibuku.
 
Simple tu.. Fungua page uanzishe uchochezi.. nazani utaonana nae kusiko julikana
udakutz_-20181218-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitumia Njia Za kiserikal Huenda ukamuona akishakuwa Mstaafu
Let me give you my experience

Lazima ujue watu influencial kwa Raia binafsi

Wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ilikuwa Njia rahisi ni kupita kwa Rafiki yake wa Karibu Sana Hayati Mzee Kitwana Kondo pale Upanga maana jion nyingi ilikuwa ama anaenda pale Au Mzee Kondo anakuwa Ikulu Mwingine alikuwa Al marhum Sheikh Nurdeen Hussein wa pale Fire Kariakoo Ni marafiki wa tangu kabla ya Uhuru so Yule anakwambia Siku ya kuonana nae

Mzee Mkapa Mara nyingi ilikuwa unamuotea Alfajir pale Kanisa la Immakulata ilikuwa Mara nyingi anakuwa pale Na Mimi binafsi nimemuona Mara kadhaa pale japo sikuwa Na ratiba Au ombi la kuonana nae Ila Wajanja wengi walipitia pale, ukimuona akikupa appointment Basi unaenda Ikulu kwa Mbwembwe zote ...'Mh. Rais kaniomba nije nimuone leo...'

Jakaya ilikuwa rahisi zaid kumuona akiwa Kwenye Ziara Za Mikoani kwa Kuwa mjini alikuwa Na marafiki wengi Sana kuanzia wale wa sygon mpaka Wajanja wakaanza kula mitonyo kwa ya kuwaunganisha

Alipokuja Ombeni Sefue kwa kuwa nae Mjanja akadhibiti lakin Yule Luhanjo hakuweza

Mzee Baba Huyu kwa Kweli hana kanuni Na Sijui kwa Kuwa Siku hizi Ni 'Mpenzi mtazamaji' namuona Kwenye page Za Gerson Msigwa ila Najua ukipitia 'Ilala Boma' unaweza kumuona

Unajua Magu Ni tofauti Sana Na Marais wote waliotangulia I.e Hana vijiwe wala best friends Yeye ana staff mates Na X class mates sio best friends
 
Ukitumia Njia Za kiserikal Huenda ukamuona akishakuwa Mstaafu
Let me give you my experience

Lazima ujue watu influencial kwa Raia binafsi

Wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ilikuwa Njia rahisi ni kupita kwa Rafiki yake wa Karibu Sana Hayati Mzee Kitwana Kondo pale Upanga maana jion nyingi ilikuwa ama anaenda pale Au Mzee Kondo anakuwa Ikulu Mwingine alikuwa Al marhum Sheikh Nurdeen Hussein wa pale Fire Kariakoo Ni marafiki wa tangu kabla ya Uhuru so Yule anakwambia Siku ya kuonana nae

Mzee Mkapa Mara nyingi ilikuwa unamuotea Alfajir pale Kanisa la Immakulata ilikuwa Mara nyingi anakuwa pale Na Mimi binafsi nimemuona Mara kadhaa pale japo sikuwa Na ratiba Au ombi la kuonana nae Ila Wajanja wengi walipitia pale, ukimuona akikupa appointment Basi unaenda Ikulu kwa Mbwembwe zote

Jakaya ilikuwa rahisi zaid kumuona akiwa Kwenye Ziara Za Mikoani kwa Kuwa mjini alikuwa Na marafiki wengi Sana kuanzia wale wa sygon mpaka Wajanja wakaanza kula mitonyo kwa ya kuwaunganisha

Alipokuja Ombeni Sefue kwa kuwa nae Mjanja akadhibiti lakin Yule Luhanjo hakuweza

Mzee Baba Huyu kwa Kweli hana kanuni Na Sijui kwa Kuwa Siku hizi Ni 'Mpenzi mtazamaji' namuona Kwenye page Za Gerson Msigwa ila Najua ukipitia 'Ilala Boma' unaweza kumuona

Unajua Magu Ni tofauti Sana Na Marais wote waliotangulia I.e Hana vijiwe wala best friends Yeye ana staff mates Na X class mates sio best friends
Labda amtafute chitwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Hawezi kukusikiliza kwasababu hiyo.

Ila tafuta ufumbuzi wa kum8a Tundu Lissu, kudhibiti wapinzani, kumfanya CAG awe msukule wa JIWE au kusaidia ccm itawale milele.
 
Maghufuli atakuaibisha tuu...kama upo tayar kuaibika poa...yule jamaa sio atakuoshea af anakutupa pembeni...kiufupi hatabiriki, njia nzur nenda kwa mkuu wa mkoa tena tegeshea kama amepanga ziara mkoani mwako...
 
weka hapa tuzijadili,ila kufanyiwa kazi ni mara chache viongozi serikalini huwa wanasoma ma ushauri ya humu ila hawayatilii maanani...
 
Mkuu ingia na Majina halisi yako,then andika hapa hayo nayodhania umeyapitia ufumbuzi,then kama kuna jambo wanataka Zaidi kujua watakutafuta..NA UTEUZI juu 😀😀
 
Unaanzia kwa mwenyekiti wa mtaa anakupa barua ya utambulisho, unaenda kwa mtendaji wa mtaa, mtendaji wa kata, Afisa tarafa, mkuu wa wilaya, Mkuu wa mkoa, waziri tamisemi halafu waziri mkuu ambaye atakutaftia access ya kuonana naye.

Kila la kheri mkuu katika safari yako.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
 
Njia rahisi ni wewe kuanzisha Kanisa na uwe Mchungaji MKUU wa hilo Kanisa, na lazima liwe Dar es salaam!
 
Rais hatafuti ajira,nenda kituo cha TV omba kipindi, alika waliokosa ajira, wasilisha mada, ruhusu simu za maswali, jibu hoja na ruhusu wachangiaji mada, utasaidia vijana kupata ajira.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
 
kuna siku nilitaka kuonana na mkuu wa mkoa, mama Anna Mghwira

Figisu nilozopata sitosahau.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Hahaaa, andika bango kubw la kumchafua halaf kaa karibu na unapopita msafara wake hakika utamwona na utaeleza dukuduku lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye macho yake na kichwa

Back
Top Bottom