Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuone mkuu wako wa mkoa atamfikishia ujumbeKama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Labda amtafute chitwangaUkitumia Njia Za kiserikal Huenda ukamuona akishakuwa Mstaafu
Let me give you my experience
Lazima ujue watu influencial kwa Raia binafsi
Wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ilikuwa Njia rahisi ni kupita kwa Rafiki yake wa Karibu Sana Hayati Mzee Kitwana Kondo pale Upanga maana jion nyingi ilikuwa ama anaenda pale Au Mzee Kondo anakuwa Ikulu Mwingine alikuwa Al marhum Sheikh Nurdeen Hussein wa pale Fire Kariakoo Ni marafiki wa tangu kabla ya Uhuru so Yule anakwambia Siku ya kuonana nae
Mzee Mkapa Mara nyingi ilikuwa unamuotea Alfajir pale Kanisa la Immakulata ilikuwa Mara nyingi anakuwa pale Na Mimi binafsi nimemuona Mara kadhaa pale japo sikuwa Na ratiba Au ombi la kuonana nae Ila Wajanja wengi walipitia pale, ukimuona akikupa appointment Basi unaenda Ikulu kwa Mbwembwe zote
Jakaya ilikuwa rahisi zaid kumuona akiwa Kwenye Ziara Za Mikoani kwa Kuwa mjini alikuwa Na marafiki wengi Sana kuanzia wale wa sygon mpaka Wajanja wakaanza kula mitonyo kwa ya kuwaunganisha
Alipokuja Ombeni Sefue kwa kuwa nae Mjanja akadhibiti lakin Yule Luhanjo hakuweza
Mzee Baba Huyu kwa Kweli hana kanuni Na Sijui kwa Kuwa Siku hizi Ni 'Mpenzi mtazamaji' namuona Kwenye page Za Gerson Msigwa ila Najua ukipitia 'Ilala Boma' unaweza kumuona
Unajua Magu Ni tofauti Sana Na Marais wote waliotangulia I.e Hana vijiwe wala best friends Yeye ana staff mates Na X class mates sio best friends
Hawezi kukusikiliza kwasababu hiyo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.

Hahaaa, andika bango kubw la kumchafua halaf kaa karibu na unapopita msafara wake hakika utamwona na utaeleza dukuduku lakoKama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.