Thanks!Email:ikulu@yahoo.com
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Ahsante kwa Info yakoRais Hauwezi Kuonana Naye Kirahisi Isipokuwa Jambo Lolote Jema Lifikishe Kwa Wasaidizi Wake Ikumbukwe Yule Ndiyo Raia Number One
Huwa Hata Wateule Wake Siyo Rahisi Kuonana Naye Kuna Taratibu Ndefu
Hahaha hao ni maraisa gani bna hawana hata vingo'ra njianiUnataka kuonana na rais was TLS au TFF mkuu?
Nimejikuta nacheka kwa sauti hadi watu wamenishangaaWaweza ishia kupimwa mkojo tu, usimuone
sasa mkuu kama ni rais yule wa jumba jeupe/magogoni si ana wawakilishi wake huko!!!!!Hahaha hao ni maraisa gani bna hawana hata vingo'ra njiani
Habari wanaJF,
Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais.
Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani.
Thanks
Habari wanaJF,
Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais.
Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani.
Thanks