Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Rais Hauwezi Kuonana Naye Kirahisi Isipokuwa Jambo Lolote Jema Lifikishe Kwa Wasaidizi Wake Ikumbukwe Yule Ndiyo Raia Number One

Huwa Hata Wateule Wake Siyo Rahisi Kuonana Naye Kuna Taratibu Ndefu
 
Rais Hauwezi Kuonana Naye Kirahisi Isipokuwa Jambo Lolote Jema Lifikishe Kwa Wasaidizi Wake Ikumbukwe Yule Ndiyo Raia Number One

Huwa Hata Wateule Wake Siyo Rahisi Kuonana Naye Kuna Taratibu Ndefu
Ahsante kwa Info yako
 
Mawaziri aliowateua anawaita wapumbavu na Elimu zao zimelala sasa sijui wewe atakuitaje...
 
Habari wanaJF,
Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais.
Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani.

Thanks

OK. jaza fomu hii:
jina lako nani?
jinsia?
Jina la baba yako nani?
"" "" babu " nani?
umri wako?
ulizaliwa wapi?
makazi?
umeoa?
umeolewa?
kama ndio, jina la mumeo/mkeo?
umri wake?
Kama hujaoa, to a sababu?
lini utaoa/olewa?
na nani?
elimu yako?
vyeti vyako?
unasoma magazeti gani?
jina la mwalimu wako wa shule ya msingi?
jina la mkuu wako wa wilaya?
jina la mkuu wako wa mkoa?
umemaliza page 1 bado 9 OK?
umechoka?
OK Kanywe maji kwanza halafu tuendelee!
 
ukirudi baada ya kumuona bashite atakutupa mtoni uliwe na mamba
 
Habari wanaJF,
Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais.
Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani.

Thanks

Kuonana live huruhusiwi kwa sbb za kiusalama ( Don't ask any question here )

1: Mtafute Instagram..

2: Mtafute Twitter..

Kisha toa ushauri au uliza swali lako akiona lina umuhimu atakujibu, usitake sifa eti kuuliza swali lazima umuone live, umetumwa? Naona una akili za kitoto sana bado
 
Kama unaweza subiria akipanga ziara za mikoani sogea huo mkoa maana hua kuna kamati ya maigizo inaandaa watu mabarabarani so kupitia pale unaweza jitokeza na mabango yako na shirt la kitenge rangi ya tanzania lenye picha ya magu kupitia hapo waweza kupewa ruhusa ya kumwona mzalendo no moja nchini na yy lazima akupokee kama mzalendo mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom