Hapa atakwa kwa mkuu wa wilayaUnapeleka maombi kwa Mkuu wa Wilaya anayafikisha kwa Mkuu wa Mkoa nae anayapeleka kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndipo kama Kuna umuhimu tarehe inapangwa.
Ok nice day, Ila nimeshauri ujaribu tuu sina uhakika Ukifanikiwa nirushie hata buku tuu!
Duh! Unaweza kubahatisha kwa chating kwa kumwambia una shida sensitive unataka kuonana nae, Km ataona inafaa atakujibu Ila bado nasisitiza usiandike jambo lako humo wanaona wengi huwenda ukapata mwongozo...pia usiwe na haraka.Nimeingia ila sijaona sehemu ya kutuma messages kwenye official page yake Rais
Mzee kwani kuna Rais Wangapi Tanzania hii🤔Duh!
Unataka kumuona Rais yupi?
Rais Magufuli, Rais wa Tff, rais wa wasafi na Marais wa vyuoMzee kwani kuna Rais Wangapi Tanzania hii🤔
Ulishawahi kujaribu!?Unapeleka maombi kwa Mkuu wa Wilaya anayafikisha kwa Mkuu wa Mkoa nae anayapeleka kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndipo kama Kuna umuhimu tarehe inapangwa.
Wit, mimi simshauri hivyo bali ajaribu kufuata taratibu nyengine kama alivyo shauriwa mfano atumie email yake au apitie twitter au njia nyengine tumia email ya ikulu pia, njia hizi naamini taarifa zitamfikia, hii ya barabarani mimi huwa naona kama ni risk sana, sijui rebeca utaanzaje, anakuwa amezungukwa na walinzi na watu wake wa karibu kwa asilimia kubwa mnh! hii yataka ujasiri na iwe bahati yako pia.We mvizie kwenye misafara Tena mda huu wa kampeni
Nilitaka nikupe connection ila hatua ambayo umefikia ya kuweka Mambo ya kumuua hadharani nimekuona wewe pia ni Mnyama hustahili huruma.Russu au jina lingine Living Kiwelu ni adui wa maendeleo yetu Tanzania anafaa akamatwe auliwe, Hata hivyo ningependa uko ana na Rais kwa mambo mengine
Nilitaka nikupe connection ila hatua ambayo umefikia ya kuweka Mambo ya kumuua hadharani nimekuona wewe pia ni Mnyama hustahili huruma.
Halafu huoni Kama unajiwekea mazingira magumu ikitokea Huyo Russu Leo akafa kifo Cha kutatanisha. Huoni utakuwa suspect wa kwanza? Hebu tumia mitandao vizuri hata Kama umetapeliwa angalia njia unazozitumia kudai haki yako zisije kukugeuka huko mbele. Ogopa teknolojia taarifa zako zote zinarekodiwa.
Basi nakuomba angalia meseji zako unazopost mitandaoni zisije kukugharimu Tena unataja jina halisi la mtu.nisamehe ni hali ya kuwa despair..hivi unaamini nataka auwawe kweli?? mnhhh... sitafuti huruma mkuu..nishahesabu hasara siku nyingi.....
Basi nakuomba angalia meseji zako unazopost mitandaoni zisije kukugharimu Tena unataja jina halisi la mtu.
Nakushauri ufute hiyo meseji ya kitisho Cha kifo kwa Huyo mtu uliemtaja ndugu yangu.
Hiyo avatar yako bana inaniweka roho juu nikivuta picha labda ndo wewe🤪🤦Hofu ya Nini mkuu
Yaan ww[emoji28][emoji28][emoji28]We mvizie kwenye misafara Tena mda huu wa kampeni
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji849][emoji849][emoji849]Njoo nikupe tigo me natoa