dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahahhahahahakuna raisi wengi tu mbona hii nchi:
1.Rais wa jamhuri
2.Rais wa TFF
3.Rais wa Tanganyika Lawyers Society (TLS)
4.Raisi wa manzese (Madee)
5Raisi wa wasafi (Mondi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhahahahakuna raisi wengi tu mbona hii nchi:
1.Rais wa jamhuri
2.Rais wa TFF
3.Rais wa Tanganyika Lawyers Society (TLS)
4.Raisi wa manzese (Madee)
5Raisi wa wasafi (Mondi)
“rice” wetu haendagi majuu mbona??!😃😃i wish ningekua Rais 😋, afu Rebeca 83 ukija ofisini kwangu nakufanyia ma sifa kibao,mara nampigia simu prof machokodo namwambia azungumze na balozi aliyepo Nice ufaransa nataka kwenda weekend
“rice” wetu haendagi majuu mbona??![emoji2][emoji2]
mkuu😂 ngoja aje mwenyewe aniruhusu , Rebeca 83😜 naomba pichaaa
[emoji1787]mkuu,kwani hujui rebeca ni mweupe ? ,
Asante kwa kunitusi
Umetishia kuua,hivyo huna sifa za kuonana na magufuri,mcheki makonda atakusaidia
Pole sana,just relax njoo hapa fish fish tupate Serengeti baridiiiNimemtishia nani..km ni yule tapeli na afee tu..shenzi..mbona i am dead inside for what he has done,,,kama sitaweza kuonana na rais ni sawa mkuu
Habari mkuu.. ukipata quote hii naomba unipm nina ujumbe wako muhimu
Ahsante
Teh teh ntakujulisha mySure kweli wit! Halaf bday Lin?? Kipind kile nlimiss [emoji513]
Come njoo unambie kabisaa nijikoki na mm[emoji28][emoji28]Teh teh ntakujulisha my
Johnpombemagufuli@yahoo.com....Hivi raisi hana email ama simu yake binafsi ambayo anaweza kuitumia kwa mawasiliano ya binafsi na RAIA wake, ukiacha email official?
Mkuu hii ni email yake kweli??
Changamsha genge mkuu 😃😃😃Mkuu hii ni email yake kweli??