Nani kaanza kudai talaka, mume au mke? Hayo mambo ni ya msingi kupata suruhisho kisheria. Ngoja waje wataalamWaheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.
Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.
Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?
Bro. aliwasilisha hoja kama hii ya kwako,Huyo mke hana haki ya kupata chochote hapo maana hivyo vyote alivikuta.
Na kwa lugha nyepesi ni wote hawana haki ya kuiuza hiyo nyumba sababu inasimama kama mali ya mtoto
Kweli dawa ya jeuri kiburi,Dawa ya ujeuri ni ufedhuli.. Iuzwe nyumba kisha hela ya kiwanja, hela ya foundation mpaka boma, kifupi nyumba ilipokuwa kabla ya ndoa gharama zake zoote mwanume arudishiwe, kisha watizame hapo kwenye ilipomalizikia, ni shilingi ngapi hapo ndio ipigwe pasu sasa,.
Wanawake wengine chenga saana, mna mtoto bado unadai mali ipigwe mnada.
Hustles zote ni za Bro. peke yake.Yani wanawake wana hii style ya kutuharibia maisha wanaume[emoji853][emoji853]sasa anadai utadhani amewekapo hata cent
leo nimekujua heshima kwako mkuu
Hatua ya kwanza amfukuze huyo mwanamke toka ndani ya nyumba. Kisha mke akienda mahakamani mume aweke Wakili Mzuri kisha Wakili adai kuwa,mke nyumba kaikuta pili hajachangia chochote. Mahakimu huwa wanatofautiana kuhusu namna ya kugawana Mali iliyopatikana ndani ya ndos kuna ambao wanaangalia mchango wa mwenza na kuna wanaogawa nusu kwa nusu lakini kwa Mali iliyochumwa,ndani ya ndoa tu. Huyo Jamaa akijenga hoja vizuri mahakama itatathmini thamani iiliyoongezeka baada ya ndoa na ndio watapigia mgao tu kisha mume anaweza omba kumlipa fidia sio lazima nyumba kuzwe. Mume akiwa mjanja hapo mke anatoka kapa. Suala la mtoto sio hoja nyumba sio Mali ya mtotoWaheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.
Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.
Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya