Utaratibu wa kugawana nyumba

Utaratibu wa kugawana nyumba

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.

Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.

Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.

Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.

Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.

Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.

Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?
 
si wana mtoto?? huyo mwanaume amwambie hakumjengea huyo mke bali amejenga kwa ajili ya wanae hapo baadae auze aanze moja kwa maisha yapi??
 
Mume anasema kwa kuwa wamezaa,
Hiyo itamsaidia mtoto, isiuzwe.
Na mke amekuta kiwanja na msingi, hivyo asidai mgao.
 
20220212_161554.jpg
 
Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.

Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.

Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.

Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.

Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.

Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.

Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?
Nani kaanza kudai talaka, mume au mke? Hayo mambo ni ya msingi kupata suruhisho kisheria. Ngoja waje wataalam
 
Nani kaanza kudai talaka, mume au mke? Hayo mambo ni ya msingi kupata suruhisho kisheria. Ngoja waje wataalam
Mke nd'o amedai talaka.
Kwa mujibu wa Bro. anadai migogoro ilishamiri baada ya Bro. kupata kibarua wilaya ingine.
 
Huyo mke hana haki ya kupata chochote hapo maana hivyo vyote alivikuta.
Na kwa lugha nyepesi ni wote hawana haki ya kuiuza hiyo nyumba sababu inasimama kama mali ya mtoto
Bro. aliwasilisha hoja kama hii ya kwako,
Yaani umeongea kama yeye,
Haujaacha hata kipengele kimoja cha kauli yeke mkuu.
 
Dawa ya ujeuri ni ufedhuli.. Iuzwe nyumba kisha hela ya kiwanja, hela ya foundation mpaka boma, kifupi nyumba ilipokuwa kabla ya ndoa gharama zake zoote mwanume arudishiwe, kisha watizame hapo kwenye ilipomalizikia, ni shilingi ngapi hapo ndio ipigwe pasu sasa,.
Wanawake wengine chenga saana, mna mtoto bado unadai mali ipigwe mnada.
 
Mwambie ampige chini huyo mwanamke na asipoteze muda, maana tayari amesha onyesha rangi yake halisi na akisema amvumilie ujue huyo kakaako hatokaa aishi maisha ya furaha kwenye hiyo ndoa kamwe.
 
Dawa ya ujeuri ni ufedhuli.. Iuzwe nyumba kisha hela ya kiwanja, hela ya foundation mpaka boma, kifupi nyumba ilipokuwa kabla ya ndoa gharama zake zoote mwanume arudishiwe, kisha watizame hapo kwenye ilipomalizikia, ni shilingi ngapi hapo ndio ipigwe pasu sasa,.
Wanawake wengine chenga saana, mna mtoto bado unadai mali ipigwe mnada.
Kweli dawa ya jeuri kiburi,
Bro.
Amesema,

"Mimi kiwanja na foundation yangu sitaki kuuza."
Hivyo kamwambia mkewe
amtafute mteja wa kununua bati, mbao, tofali, grills, madirisha na milango, wamuuzie, abomoe ili avichukue hivyo ili wagawane pasu pasu,
Halafu yeye abaki na kiwanja na foundation yake aliyomkuta nayo.
 
Yani wanawake wana hii style ya kutuharibia maisha wanaume[emoji853][emoji853]sasa anadai utadhani amewekapo hata cent
Hustles zote ni za Bro. peke yake.

Sasa hivi ametoka kuongea na mother,
Amemwambia mother kuwa
"Huyu mke akiendeleza usumbufu,
Nachukua mkopo benki kwa dhamana ya nyumba,
Halafu hela naenda kuinvest kwingine.
Kisha benki waje waipige mnada hii nyumba, tuone atadai nini!!!".

Wanawake wanapenda ligi zisizofaa kabisa.
 
A
Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.

Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.

Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.

Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.

Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.

Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.

Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya
Hatua ya kwanza amfukuze huyo mwanamke toka ndani ya nyumba. Kisha mke akienda mahakamani mume aweke Wakili Mzuri kisha Wakili adai kuwa,mke nyumba kaikuta pili hajachangia chochote. Mahakimu huwa wanatofautiana kuhusu namna ya kugawana Mali iliyopatikana ndani ya ndos kuna ambao wanaangalia mchango wa mwenza na kuna wanaogawa nusu kwa nusu lakini kwa Mali iliyochumwa,ndani ya ndoa tu. Huyo Jamaa akijenga hoja vizuri mahakama itatathmini thamani iiliyoongezeka baada ya ndoa na ndio watapigia mgao tu kisha mume anaweza omba kumlipa fidia sio lazima nyumba kuzwe. Mume akiwa mjanja hapo mke anatoka kapa. Suala la mtoto sio hoja nyumba sio Mali ya mtoto
 
Back
Top Bottom