Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.
Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.
Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?