Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

Mimi binafsi Nina utaratibu wangu, nikikaguliwa mara moja tiketi namwanbia kondakta kama Kuna ukaguzi mwingine bas akatoe kopy hyo tiketi, maana sitoitoa Tena hata iweje
 
Watu wa kaskazini mashariki hatuna huo upusi. Ukishakaguliwa Kibaha/mlandizi Hadi mwisho no disturbance.
Inaelekea mijitu ya bara sio mistaarabu kabisa
 
Hivi inafunguliwaje?..

Kama kanisa?

Au kama kamba za viatu

Au kama account?

Pengine ni kama dirisha.

Au inafunguliwa kama koki.

Labda ni kama zipu 🤣🤣
Ukiona watu wanasombwa kupigwa mnada ujue ndio ishafunguka hivyo.
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Back
Top Bottom