Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

Poleni sana, ni ujinga...
Mkuu hili sekeseke ni la mwaka jana, ila tunashkuru Mungu maana ndoa ilifungwa na hadi leo hii yule dada mtu hajaolewa hivyo tungelegeza msimamo ni dhahiri hadi leo hii tungekua tunasubiri tu.
 
Mngekua mnasubiri au jamaa angeoa mtu mwingine.....!
 
Back
Top Bottom