Mkuu hili sekeseke ni la mwaka jana, ila tunashkuru Mungu maana ndoa ilifungwa na hadi leo hii yule dada mtu hajaolewa hivyo tungelegeza msimamo ni dhahiri hadi leo hii tungekua tunasubiri tu.