NdioUnaweza kuipaki chopa nyumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioUnaweza kuipaki chopa nyumbani?
Ikiwa ni siku moja tu tokea niilete mada husika hapa jukwaani, tayari nimeshajua pa kuanzia kuhusiana na jambo nililoshirikisha jana. Michango ya wadau imenipa picha ya kinachopaswa kufanyika.Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Ikiwa kuna taarifa zingine zozote ninazopaswa kufahamu naomba nisaidiwe.
Asante.
Kipindi cha nyuma parking ilikuwa 12000/ tsh kwa siku kwa ndogoNinamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Ikiwa kuna taarifa zingine zozote ninazopaswa kufahamu naomba nisaidiwe.
Asante.
Nausubiria ushuhuda kwa hamu!Ikiwa ni siku moja tu tokea niilete mada husika hapa jukwaani, tayari nimeshajua pa kuanzia kuhusiana na jambo nililoshirikisha jana. Michango ya wadau imenipa picha ya kinachopaswa kufanyika.
Nitumie wasaa huu kuwashukuru wote waliojitoa kwa ushauri na mawazo mbalimbali. Hakika, michango iliyotolewa ni ya msaada sana.
Ikimpendeza Mungu, siku itawadia nitakapokuja tena hapa jukwaani kutoa ushuhuda wa kilichojiri. Nitakuja na ushuhuda MZURI kwa kuwa ninajua kuwa YOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE! Ninamini.
Ninawashukuruni sana na Mungu awabariki sana.
Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauzaKuna mzee mmoja namjuwa anaitwa mwamasika anaiuza mln 250 ya kibongo...
Ipo tu kaipaki Airport ya zamani huko
Aina ya ndege ni cesna...
Ova
Mkuu, kwa nini Mrusi na si Mtanzania? Bila shaka siku hizi kuna Watanzania wengi tu wanaojua "kuendesha " gari la angani!Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauza
Unapiga route zako hata 3 kwa siku na pilot unaajiri mrusi bei poa
Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa huu uzi! Nimejifunza mengi mazuri, na nimehamasika pia.acha wivu mkuu kwani yeye hajagoogle? ameingiaje jf? kulee robot inajibu hapa real people tena wahusika.
na watu watapata majibu na kujifunza acha kukariri.
Watu wengine mna utani sana! Mtu anataka ndege wewe unamwambia anunue baiskeli? Aisee!Jikaze walau ununue hata kabaiskeli kakuchaji.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mapilot mbona wengi tu [emoji1]Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauza
Unapiga route zako hata 3 kwa siku na pilot unaajiri mrusi bei poa
Na Mimi nitamiliki ndege.Mapilot mbona wengi tu [emoji1]
Anawapata,kuna tajiri yangu mmoja
Alikuwa myahudi anaitwa malapa
Ah tulikuwa tunapuyanga sana na kadege kake tanzania hii
Parking fee kwa 12hrs ilikuwa 2000 kwa ndege za ndani
Ila za nje $5 kwa 12hrs,service na bima kdg ndy ilikuwa imechangamka
Hapo ujipqnge kdg...ila kama mtu uko na mipango ndege mbn unaimiliki kama ist tu [emoji1]
Ova
Unamaanisha zinakuwaga hazina AC ???Uongo Cessna 208 haiwezi zidiwa bei na Coaster
Bali C152/172 tena za mwaka 1970 ndo zinazidiwa ila ukiifanyia repair na cockpit ukabadilisha inavuka mfano garmin tu ni zaidi ya dollar 15,000
Hapo ukiweka AC inaongezeka bei
Atembelee Mamlaka ya USALAMA wa Anga Tanzania TCAA kwa taarifa zaidi.Tembelea ofisi za mashirika ya ndege wanaweza wakakusaidia, au ofisi ya mamlaka ya viwanja vya ndege.
Sahih kobaz si wa kuwaamin labda asimamiwe na pempaz
Yule tajiri wa JF anaweza akawa na majibu ya maswali yote haya. Natumaini atakujibu pundeNinamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Ikiwa kuna taarifa zingine zozote ninazopaswa kufahamu naomba nisaidiwe.
Asante.
Mkuu hv comment zako huwa unapaste tu yaan(yaan ushazicopy kwenye clipboard)[emoji23][emoji23]...Ngoja waje kukupa muongozo...
Hata IST 2nd gen Ni Bei ghali kuliko crown nyingi tu,, kwenye operation cost ndo itakuzinguaNdege ndogo Cessna grand caravan used....ni bei nafuu kuliko.... unavyofikiri...
Ni nafuu kuliko Toyota coaster used.
TRUST ME
Ukiwa na nyumba kubwa yenye eneo kubwa nje ya mji Bado utakataliwa?Huwezi kuipaki nyumbani kwako inapaki airport labda iwe helcopter, hapa kuna parking fee, huwezi kuruka bila ruhusa na unalipia ukirusha, hiwezi kutua bila ruhisa na unalipia ukitua. Inshort usumbufu tuou
Itakuwa namba A hioKuna mzee mmoja namjuwa anaitwa mwamasika anaiuza mln 250 ya kibongo...
Ipo tu kaipaki Airport ya zamani huko
Aina ya ndege ni cesna...
Ova