GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Biashara ya nyoka nayo inalipa . Sumu yake inauzwa hela nzuri.Motivation speaker Mungu anawaona.usikute keshapigiwa hesabu za mapato atakayoingiza kwa kufuga nyoka so anawaza kununua ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya nyoka nayo inalipa . Sumu yake inauzwa hela nzuri.Motivation speaker Mungu anawaona.usikute keshapigiwa hesabu za mapato atakayoingiza kwa kufuga nyoka so anawaza kununua ndege
A. Bei ya ndege ndogo na helikopta inategemea aina, ukubwa, ubora na mahali unaponunua.A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Gharama za kuihudumia ndege ndogo na helikopta zinajumuisha gharama za mafuta, matengenezo, bima, ada za uwanja wa ndege na mishahara ya marubani na wahudumu.B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Sheria za uendeshaji wa ndege ndogo na helikopta Tanzania zinahitaji kuwa na marubani wenye leseni halali na uzoefu wa kutosha.C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuhusu unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa ndege au helikopta itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profit organization, hakuna taarifa wazi nilizopata kutoka kwenye mtandao.D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu wa parking unahusisha kulipia ada za uwanja wa ndege kulingana na muda unaotumia katika eneo la maegesho.E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhusu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi ikiwa una kibali cha TCAA na una eneo la kutosha na salama kwa ajili ya kutua na kuruka. Pia, unatakiwa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi na serikali za mitaa wakati wa matumizi ya helikopta yako.F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Vipi zile ndege za mashambani?A. Bei ya ndege ndogo na helikopta inategemea aina, ukubwa, ubora na mahali unaponunua.
Kwa mfano, bei ya ndege ndogo aina ya Cessna 172 Skyhawk inaweza kuwa kati ya dola za Marekani 300,000 hadi 400,000, wakati bei ya helikopta aina ya Robinson R44 Raven II inaweza kuwa kati ya dola za Marekani 500,000 hadi 600,000.
Gharama za usafirishaji na usajili zinaweza kuongeza bei kwa asilimia kadhaa. Kwa hiyo, unahitaji kuwasiliana na wauzaji wa ndege na helikopta ili kupata bei halisi na utaratibu wa ununuzi.
B. Gharama za kuihudumia ndege ndogo na helikopta zinajumuisha gharama za mafuta, matengenezo, bima, ada za uwanja wa ndege na mishahara ya marubani na wahudumu.
Gharama hizi zinatofautiana kulingana na aina ya ndege au helikopta, umbali wa safari, idadi ya safari na hali ya hewa. Kwa mfano, gharama ya mafuta ya ndege aina ya Cessna 172 Skyhawk ni dola za Marekani 50 kwa saa moja ya kuruka, wakati gharama ya mafuta ya helikopta aina ya Robinson R44 Raven II ni dola za Marekani 100 kwa saa moja ya kuruka.
Kwa hiyo, unahitaji kuandaa bajeti yako kulingana na mahitaji yako.
C. Sheria za uendeshaji wa ndege ndogo na helikopta Tanzania zinahitaji kuwa na marubani wenye leseni halali na uzoefu wa kutosha.
Marubani wanatakiwa kuwa na leseni za kitaifa au kimataifa zinazotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) au mamlaka nyingine zinazotambuliwa.
Aidha, marubani wanatakiwa kuwa na cheti cha afya kinachothibitisha uwezo wao wa kimwili na kiakili. Kuhusu idadi ya marubani, sheria inategemea aina ya ndege au helikopta na urefu wa safari.
D. Kuhusu unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa ndege au helikopta itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profit organization, hakuna taarifa wazi nilizopata kutoka kwenye mtandao.
Hata hivyo, unaweza kuwasiliana na TCAA au Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ili kupata ufafanuzi zaidi.
E. Utaratibu wa parking unahusisha kulipia ada za uwanja wa ndege kulingana na muda unaotumia katika eneo la maegesho.
Ada hizi hutofautiana kulingana na aina ya uwanja wa ndege, aina ya ndege au helikopta na urefu wa muda unaokaa. Kwa mfano, ada za maegesho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni dola za Marekani 0.05 kwa kilo kwa saa moja kwa ndege ndogo na dola za Marekani 0.1 kwa kilo kwa saa moja kwa helikopta.
Unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu ada za maegesho katika tovuti ya TCAA au uwanja wa ndege unaotaka kutumia.
F. Sheria inaruhusu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi ikiwa una kibali cha TCAA na una eneo la kutosha na salama kwa ajili ya kutua na kuruka. Pia, unatakiwa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi na serikali za mitaa wakati wa matumizi ya helikopta yako.
Hadi unanunua ndegeBiashara ya nyoka nayo inalipa . Sumu yake inauzwa hela nzuri.
Nimeupenda uchambuzi wako. Umejibu kisomi.A. Bei ya ndege ndogo na helikopta inategemea aina, ukubwa, ubora na mahali unaponunua.

Kumbe ni Mwl! Nilikuwa sijaiangalia ID!A. Bei ya ndege ndogo na helikopta inategemea aina, ukubwa, ubora na mahali unaponunua.

Kaangalie mabahari na watu wa ndege haswa cabin crew ...Nenda kweny hivyo vyuo ukaone ...Waapii na wakati wachaga ndo wamedominate kwenye aviation😆😆😆🙌🏿👆🏿👌🏿
Mkuu, kwenye Ujasiriamali, kitu chochote kunaweza kugeuzwa kuwa biashara kubwa. Kinachomatter sana si aina ya bidhaa pekee, bali mtazamo utakaofanikiwa kujengea umma kuhusu hiyo bidhaa yako.Hadi unanunua ndege
Hapa iringa nawafahamu wakulima watatu wanamiliki ndege na wanazipaki mashambani kwaoWakulima walikuwa wanamiliki ndege?
Ndiyo zile, inasemekana, zilizotaifishwa na Serikali kipindi, nafikiri cha Nyerere?
Kumbe si kitu cha ajabu kivile kwa mtu binafsi kumiliki ndege Tanzania!
Wazungu au Waafrika!Hapa iringa nawafahamu wakulima watatu wanamiliki ndege na wanazipaki mashambani kwao
Vipo kibao........bibi yangu alikuwa mkufunzi maalumu wa kurusha nyungo jet yenye kasi kuliko Sauti.......Hivi Tanzania kuna Vyuo vya urubani?
Aisee!Vipo kibao........bibi yangu alikuwa mkufunzi maalumu wa kurusha nyungo jet yenye kasi kuliko Sauti.......
Wote wakulima wa kitanzania (raia) ila wenye asili ya kizungu.Wazungu au Waafrika!
Absolutely!Siku zote watu hawawezi wakalingana wakati wewe unawaza kununua baiskeli mwenzako anawaza ndege tena sio kwa mkopo n Cash.
Hongera sana
Mwingine anaweza asiamini. Atakuambia mkulima hana hela ya kumiliki ndege wakati nasikia wengine hata mashamba yao hunyunyizia dawa kwa kutumia ndege.Wote wakulima wa kitanzania (raia) ila wenye asili ya kizungu.
Wako kibao tu Askofu .Gwajima ana Helikopta Yake,mbunge Msukuma pia anayo helikopta yake,Askofu Mwingira wa Kanisa la Efatha ana ndege yake nkNimefarijika kufahamu kuna Watanzania wanaowaza kumiliki ndege zao binafsi. Kumbe hayo mambo yanawezekana pia Tanzania!
sasa unaujua uwezo wale? tusilaumu watu bila kuwafahamuMaisha haya sio kabisa
Hapa nawaza pikipiki niachane na baiskel
Gari najua sio kwa upande wangu
Ajabu kuna mpuuz anawaza ndege
Munguweeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app