Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

Ikiwa ni siku moja tu tokea niilete mada husika hapa jukwaani, tayari nimeshajua pa kuanzia kuhusiana na jambo nililoshirikisha jana. Michango ya wadau imenipa picha ya kinachopaswa kufanyika.

Nitumie wasaa huu kuwashukuru wote waliojitoa kwa ushauri na mawazo mbalimbali. Hakika, michango iliyotolewa ni ya msaada sana.

Ikimpendeza Mungu, siku itawadia nitakapokuja tena hapa jukwaani kutoa ushuhuda wa kilichojiri. Nitakuja na ushuhuda MZURI kwa kuwa ninajua kuwa YOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE! Ninamini.

Ninawashukuruni sana na Mungu awabariki sana.
 
Kipindi cha nyuma parking ilikuwa 12000/ tsh kwa siku kwa ndogo
Hiyo watu TCAA wana shulika nayo
Ila watu wengi wamiliki wengi ambao nawajua wao walikuwa wanaziweka ndege zao kwenye garage kama wanapiga service,huko parking fee haisomi
Alafu kuna landing fee pia kila ukitua kuna gharama hiyo nmesahau
Bima ya ndege ndogo kwa mwaka iko ya mln 50 hadi 35 na wengi walikuwa wanakatia kenya
Kama uko njema na mipango ndege mbona unaimiliki tu

Ova
 
Nausubiria ushuhuda kwa hamu!
 
Kuna mzee mmoja namjuwa anaitwa mwamasika anaiuza mln 250 ya kibongo...
Ipo tu kaipaki Airport ya zamani huko
Aina ya ndege ni cesna...

Ova
Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauza
Unapiga route zako hata 3 kwa siku na pilot unaajiri mrusi bei poa
 
Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauza
Unapiga route zako hata 3 kwa siku na pilot unaajiri mrusi bei poa
Mkuu, kwa nini Mrusi na si Mtanzania? Bila shaka siku hizi kuna Watanzania wengi tu wanaojua "kuendesha " gari la angani!
 
acha wivu mkuu kwani yeye hajagoogle? ameingiaje jf? kulee robot inajibu hapa real people tena wahusika.

na watu watapata majibu na kujifunza acha kukariri.
Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa huu uzi! Nimejifunza mengi mazuri, na nimehamasika pia.
 
Bora hiyo kama inafanya kazi kwa bei hiyo hata 200 labda atauza
Unapiga route zako hata 3 kwa siku na pilot unaajiri mrusi bei poa
Mapilot mbona wengi tu [emoji1]
Anawapata,kuna tajiri yangu mmoja
Alikuwa myahudi anaitwa malapa
Ah tulikuwa tunapuyanga sana na kadege kake tanzania hii
Parking fee kwa 12hrs ilikuwa 2000 kwa ndege za ndani
Ila za nje $5 kwa 12hrs,service na bima kdg ndy ilikuwa imechangamka
Hapo ujipqnge kdg...ila kama mtu uko na mipango ndege mbn unaimiliki kama ist tu [emoji1]

Ova
 
Na Mimi nitamiliki ndege.
 
Uongo Cessna 208 haiwezi zidiwa bei na Coaster

Bali C152/172 tena za mwaka 1970 ndo zinazidiwa ila ukiifanyia repair na cockpit ukabadilisha inavuka mfano garmin tu ni zaidi ya dollar 15,000
Hapo ukiweka AC inaongezeka bei
Unamaanisha zinakuwaga hazina AC ???
 
Yule tajiri wa JF anaweza akawa na majibu ya maswali yote haya. Natumaini atakujibu punde
 
Ngoja waje kukupa muongozo...
Mkuu hv comment zako huwa unapaste tu yaan(yaan ushazicopy kwenye clipboard)[emoji23][emoji23]...
Sasa hapo waje kumpa muongozo wakat kashapewa huko juu na mwenyewe kakiri kuridhika na miongozo!
 
Ndege ndogo Cessna grand caravan used....ni bei nafuu kuliko.... unavyofikiri...
Ni nafuu kuliko Toyota coaster used.
TRUST ME
Hata IST 2nd gen Ni Bei ghali kuliko crown nyingi tu,, kwenye operation cost ndo itakuzingua
Huwezi kuipaki nyumbani kwako inapaki airport labda iwe helcopter, hapa kuna parking fee, huwezi kuruka bila ruhusa na unalipia ukirusha, hiwezi kutua bila ruhisa na unalipia ukitua. Inshort usumbufu tuou
Ukiwa na nyumba kubwa yenye eneo kubwa nje ya mji Bado utakataliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…